ila ukitaka kufeli kabisa kimaisha sikiliza maneno ya watu.Jux na mkewe wana mambo mengi wanafanya tunaona u bussy wao wa kutafuta hela kila siku wana vitu vipya. Wanafanya kazi nyingi wanaaamka mapema na kuchelewa kulala. juma kawa bussy tofauti na alivyokuwa bongo. wapo na furaha kabisa unaona tu husstle zimezidi hawajatulia. ila wachambuziii jamani wasikilize ujichanganye uachane na mtu wako. utaanxa tena kuchekwa