@dallarzpage: Here is a shortupdate regarding this conflict in the middleeast. #usa #trump #tiktokviral #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪

dallarz
dallarz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 12:34:05 GMT
14226
1239
47
9

Music

Download

Comments

sullematelphone1
Sulle matelphone :
Captain
2026-08-11 12:50:42
0
mansurysalum
mansurysalum :
captain Dupa 🫡👊
2026-08-11 15:50:22
0
jumaselemani409
Juma Selemani :
yan kama siyo wew tz nzima tusingejua hii vita inaendereaje. hongera sana
2026-08-11 13:32:11
4
sam.madread
Sam Madread :
ila wew unamadini sana hakika kwako najifunza vitu Ving sana🙌🙌
2026-08-11 12:43:19
4
lil_.ommie
عمر عبدالله :
Douh!!!😳
2026-08-11 12:44:46
1
itsjulius32
it's Julius :
Sasa kama wa Iran wanasema strait of Hormuz niyakwao Kwann wamuombe marekani aifungue 😂😂😂
2026-08-11 13:09:08
0
tonnah39
Tonna39 :
nakubli kk leo wa kwanza
2026-08-11 12:40:57
1
alibhaikarimj
Alibhai Karimj :
hivi kwani us inamhusu nini hormuz si niya iran hebu tuchambulie kidg kuh hili
2026-08-11 14:46:33
0
muuh.osama
MUUH OSAMA" :
daah
2026-08-11 15:04:34
0
habakuki300341
David Daniel Mbwambo :
US hawawezi kukubali
2026-08-11 15:36:48
0
official.mzazi
Official Mzazi :
mmmhhh Ngoma ngumu
2026-08-11 13:48:20
0
alhaji_chande
kalaz entertainment :
trump hawez kukubali bila yeye kufaidika maana pia ameingia hasara kubwa mpaka sasa
2026-08-11 14:01:15
0
shirammt2qt
munir :
Bro we ni 🔥🔥🔥
2026-08-11 14:04:18
0
aliabeid908
Ali Abeid :
Trump akubali matokeo,Ni kama mpira wa miguu.Akubaliane na Iran masharti yote.Dunia inataka amani
2026-08-11 14:11:15
0
dr.othman30
DR Othman :
mi naona kama vita bado mbich
2026-08-11 14:07:37
1
murtallah113
murtalah 113 :
Leo nimekua wa kwanza caption sema mie n Iran na Huwa nafuarah unavyonipa taarifa ya iran wame store game
2026-08-11 12:50:06
0
nyambudavictor
nyambuda :
kwanini iran haipeleki vita Washington au new York kiwake kule badala ya kukipiga hapo middleEast
2026-08-11 14:25:03
0
user435070146
Muhammad :
waagwan
2026-08-11 12:51:48
0
user3761880663791
TRENT🇰🇪🇶🇦🥰 :
habari imefika Kenya 🇰🇪
2026-08-11 13:20:16
0
salehsp
SalehSp :
Super power ni 🇮🇷 🇺🇸 ni simba wa kuchora
2026-08-11 15:09:36
0
fkareem12
Fahilkar33m :
Dallas Kuna habari yakubadilika ndege kimya kimya kwa kuofia kuuliwa na iran 😅
2026-08-11 13:46:56
0
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
❤❤❤❤pongenzi kwa Iran
2026-08-11 12:46:41
1
To see more videos from user @dallarzpage, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About