ndoa SIO kwa Kila mtu , wengine muwe free hili tuwe tunapona,
2026-08-11 14:14:23
1
jovithajosephath :
Me baba alikuwa anamzuia mama kwenda kazini, Me nilivo olewa baba akanambia mwanangu usiache kazi hakikisha unataafuta pesa yako mwenyewe, Me uwa nashindwa kuwaelewa hawa watu😂 Me ndo kwanza me na kazi yangu tumengangana staki mchezo
2026-08-11 15:59:04
2
Mom Gianna 🥰 :
kila siku anasema natafuta hela kwa ajili ya binti yangu akasome shule bora duh! 😅
2026-08-11 13:40:16
1
Mîsojî :
Ujakosea
2026-08-11 18:05:36
0
Malkia careen :
Point
2026-08-11 13:36:30
0
mama shadia ❤️❤️ :
Ogopeni wanaume
2026-08-11 17:24:35
0
Be smart always :
Ndoa sio lazima jamani
2026-08-11 18:57:03
0
Mkemia :
Mi mbona nataka
2026-08-11 13:29:07
0
riii :
sjui kwann
2026-08-11 13:39:11
0
warda222🥰 :
Kbisaaaaaa
2026-08-11 13:32:04
0
Oculy000 :
ni kweli aiseee
2026-08-11 15:43:54
0
kasilo 4974 :
nimetamani niongee ila basi
2026-08-11 14:35:45
0
Mkemia :
Waishi kivile wao wanavotaka
2026-08-11 13:29:39
0
Mr Bei Poa :
Kwan mkeo ni ndugu yako
2026-08-11 19:03:38
0
user8588630599694 :
nataman kungekuwa na sehem ya voic niwasimulie
2026-08-11 18:28:38
1
shoni :
ndugu wa mwanaume ni mtoto wake na,sio mwanamke wake
2026-08-11 18:12:39
0
cute B :
mwanangu wa kike shule bora ataenda
mm kutofanya kaz hiyo haihusiani na mwanangu eti ascended shule kila mtu ashinde mechi zake😁😁
2026-08-11 19:27:44
0
To see more videos from user @msfetty198, please go to the Tikwm
homepage.