jmn haya matamasha yanatangazwa wap jmn natamanigi kwenda
2026-09-04 21:27:35
5
Naomi🌹🌹 :
Jastin Mungu akubariki sana huwa na barikiwa na sauti yako yenye upako
2026-08-20 09:42:14
6
it's_kitebo :
be blessed
2026-08-29 08:57:00
1
Patrick Mwangomo :
kaka Mungu akutunze sana kaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-11 14:39:15
2
N.o.v.a0411 :
BE BLESSED MINISTERS 🔥🔥🙏
2026-08-11 16:06:33
1
Ivony Mwageni :
Dr ipiyana you blessed so much my lifee
2026-09-28 12:25:28
0
fred_rick81 :
mbona najiskia kulia
2026-08-20 15:10:46
1
sheby love :
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU MTUMISHI
2026-08-28 16:43:01
2
Ruth Azael :
Be blessed bro, Kila nikiona video zako namtukuza Mungu sana Kwa ajili Yako, una neema ya Mungu ndani Yako, wewe ni baraka sana Kwa kizazi hiki, Mungu akuhufadhi, akulinde na azidi kukutumia zaidi
2026-08-14 13:02:47
4
miss kioko🌹 :
mwengine sina🙌😘😘😘🙌🙌🙌
2026-09-20 16:53:32
1
Donatus Kahatanu :
ahsanteee sana yesu kwa kunipenda bado ,uhai,akili,uwezo vyote umenipa wew yesu kwani mm ni nan nakutegemea tena
2026-08-11 17:57:38
1
_mr & Mr's Peter Malley. :
Dr Ipiyana & Justine Asifiwe, [Moyo mwekundu][Moyo mwekundu][Moyo mwekundu][Moyo mwekundu][Moyo mwekundu][Moyo mwekundu][Moyo mwekundu] waAgape katika Kristo YESU [Omba] Eee Mungu mimina mafuta mapya juu Yao kila sekunde kwa kadri ya wewe MUNGU Upendavyo, Maana hivi ni vyombo vyako katika malngo ya Tanzania na Mataifa yote Ulimwenguni Kote.
2026-10-05 20:14:31
0
Elisha Zabron :
ubarikiwe san mtumishi🙏🙏🙏🙏
2026-09-21 13:36:07
0
miss. Irene :
Asifiwe ni kama Joel lwaga
2026-09-20 17:36:07
0
Carenoslapall :
jamani na mimi niimbe na wewe hata siku moja
2026-09-23 10:29:44
0
Queen :
AMEN
2026-09-26 17:09:23
0
vaireth :
AMEN
2026-09-25 03:10:38
0
rehema suleiman :
naomba unifiche damuni mwaki YESU KRISTO wangu 😭😭😭🙌🙌🙌🙏🙏🙏
2026-08-11 14:27:55
1
Grace Denis :
amina
2026-09-18 15:12:40
0
mourah_store :
You voice is blessed 😇🙏🏾
2026-09-15 07:05:30
0
Ester ipyana :
namtukuza Mungu kwaajili yenu
2026-10-06 19:49:08
0
Rich aunt😜 :
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu,Nabarikiwa mnoo🙏
2026-10-08 10:16:32
0
King Mo Jojo :
Justine Asifiwe brother 🔥🔥🔥
2026-09-17 00:59:13
0
haleluya hilary :
Nabarikiwa sana, Ndugu zangu watu wa Mungu. Min Justine Asifiwe pamoja na Min Dr ipyana Mungu wa mbinguni awabariki.... ningefurahi sana kuonana nayi.. siku moja.🙏🙏
2026-09-18 17:03:59
0
Joyce njile :
God bless you son of God
2026-08-11 15:54:24
0
To see more videos from user @jastinasifiwe, please go to the Tikwm
homepage.