@nancyline7: #fyp #fypシ ukimpata wakukuhudumia na akaona ni wajibu wake wa lazima kuhudumia familia mshikilieee😭😥😥

nancyline
nancyline
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 14:07:27 GMT
35397
1241
125
696

Music

Download

Comments

cutevivian01
Cute me :
Moja Kwamoja Status Liwalo Naliwe🥺
2026-08-20 20:57:51
11
marthaanton89
marthaanton :
umeongea madini baba
2026-08-24 13:02:12
5
finadanielfinadan
lady fina :
yaani mwanaume ni mwanaume kabisaa
2026-08-25 05:20:49
2
bruzal
bruzal :
sindio
2026-08-16 07:54:29
1
lastborn22592
Lastborn 🦋 :
Ndomana nampenda mme wangu
2026-09-01 07:15:14
2
pritty.macha
pritty girl💜💜💜❤️💖 :
tumjengee sanamu huyu baba
2026-08-21 18:17:58
0
margarethmsoka
margarethmsoka :
aione mr wangu sijui nimtag hapa😅
2026-08-16 11:01:11
4
pharmdilly
Dillys Beauty point Dodoma :
Yan ni kweli kabisa.
2026-08-15 06:23:18
3
lizzybabe226
Cutie_Lizzy :
asanthee kaka 😅
2026-08-16 08:45:15
1
user16269310459860
Brenda :
mwanaume mpaka akupende akikupenda atatoa hadi roho yake.
2026-09-07 07:31:01
1
ruphina.milanzi
phina :
ni kweli
2026-08-16 02:46:39
1
hesa_urembo_point
Hesa skin care :
Moja kwa moja status
2026-08-27 05:44:55
3
janeangel0902
Janeangel :
kweli
2026-08-28 13:09:13
1
marrykingi
marrykingi :
kweli kabisa
2026-08-15 14:00:30
1
devotha.ndura
Devotha Ndura :
God job
2026-08-18 06:30:46
1
mabaruti3
@Official mama B :
Kweliii kbs
2026-08-16 17:27:09
0
sandracollections
S.M :
Kweli
2026-08-16 17:25:59
1
mastura135
mastura :
kweli kabisa 😍
2026-08-19 16:20:27
0
usersalomewambura
pretty mom of 2 :
haswaaa wawe wanatupatia sisi🤣🤣
2026-08-27 18:22:14
1
mohamedi.amlima
Mohamedi Amlima :
unasema kweli kbs mwanaume kaziyake kubwa nikutoa huduma kwa familia
2026-09-05 13:35:14
2
msdj_genz
@msdj_genz :
naisavuje hii Ili niwe nairudia kila baada ya mwishon wa mwez
2026-08-24 05:23:31
2
phina.samwel
Phina Samwel :
Sanaa na tunapenda kuletewa vitu hata kama ni kidogo
2026-08-20 17:46:26
2
manaya7173
Hilda :
ngoja nimtumie huyu wangu ajue kabisa
2026-08-17 08:33:39
4
user2079311785728
susie006 :
Very true lakini umpe mwanamke wako sio Kila mwanamke
2026-08-16 19:52:21
3
user223498238606
user223498238606 :
kabisa
2026-08-12 11:18:48
1
To see more videos from user @nancyline7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About