AI inafanya hayo sasaiv msijisumbue mwambie AI copy na kupaste
2026-08-11 20:16:48
11
MropeJr :
Hiyo C++ language
Keep on it bro big up
2026-08-15 20:25:33
1
Hamza Hamau :
its verry easy
2026-08-12 04:45:24
2
grinder23 :
Inabidi mweke exit apo hyo program itaendelea had infinit
2026-08-12 07:05:56
4
Frank kapiga :
unahic kila mtu ukimpa AI anaweza fanya hvyo?
2026-08-12 03:28:45
4
Boss lyimo 🤘 :
mmmmmh hiyoo si python Mambo ya coding
2026-08-12 08:58:02
3
Salumu Amani :
c++
2026-08-13 06:12:51
1
mose_fleek🇰🇪🇹🇿🇬🇧 :
kwani hueki pin?
2026-08-13 01:40:38
1
pamagee11 :
Nice job vijana.....
And kwa wanaosema ni AI anaweza fanya ivoo naomba kutoa maoni yangu apo
AI can do it, yes. But the real question is: can YOU understand what AI is doing? 😂
Coding siyo kuandika code tu; ni kujifunza namna ya kufikiri, kutatua problems na kujenga solutions. AI inaweza kukusaidia kuandika code, lakini bila msingi wewe utakuwa unacopy tu bila kuelewa ambayo sio kila mtu anaweza fanya and so
Leo AI inawasaidia programmers, kesho itawahitaji programmers wanaojua kuitumia vizuri. Keep learning vijana! 💻🔥
SEE YOU AT THE TOP🧑💻
2026-08-12 17:41:12
4
isaac izazolah :
very hard
2026-08-12 04:54:33
1
BONGO DATA :
uko vizuri,endelea kupambana
2026-08-13 10:51:21
2
ROBINSON SAMWEL :
back end coding
2026-08-24 21:35:35
0
Ntiyaga Kagizo :
mbona umeingiza namba ambayo so ya voda imefanya kazi, hiyo ni changamoto, inatakiwa itambue namba ya voda iwe ni voda na so vinginevyo
2026-08-19 19:13:34
2
️ :
Classes ndio kitu nimeshindwa kuelewa, natumia functions tu mara nyingi
2026-08-12 07:19:31
1
user9511214072617 :
kaka apo unatumia app gan ku-run python
2026-08-20 19:26:45
1
Jack Ma :
mnacode
2026-08-18 08:14:55
0
tech pro solution company :
sema hapo validation kwenye kuchagua mobile operator ilitakiwa iwe akiweke invalid umwambie achague tena sio kuchagua service
2026-08-16 11:14:16
1
Randomguy✌️ :
nakubali developers 🔥🔥🔥
2026-08-12 04:15:39
2
sukums :
use class, control flow, loop na mbona huweka pin hii ata f2 wanaweza saivi hongera alafu unganisha na GitHub uweke live Kwa demo
2026-08-22 13:43:15
0
JiNi189 :
code haitakagi makele mengi ni mikazo tu ya ndani kwa ndani
2026-08-13 20:52:14
0
Mangro Green :
safi sana
2026-08-17 14:13:49
0
Denge boy :
python hiyo ?
2026-08-16 17:42:21
1
@ezekiel,.@255 :
saizi shida AI inafanya vyote ungefanya hivyo kabla ya ugunduzi wa AI tungeona una ndoto za mbali sana.
2026-08-28 18:03:27
0
mhizbollah :
manina ukitumia ai jiandae kudebug kila siku ww copy na kupest tu
2026-08-13 13:45:31
0
Jack Ma :
oyaa Kibaha siku hizinqcodre
2026-08-18 08:14:50
0
To see more videos from user @kibahacodingacademy, please go to the Tikwm
homepage.