Luke 18:38-42
Akapiga kelele, akisema, Yesu, Mwana wa Daudi, unirehemu.
Basi wale waliotangulia wakamkemea ili anyamaze; lakini yeye alizidi sana kupaza sauti, Ee Mwana wa Daudi, unirehemu.
Yesu akasimama, akaamuru aletwe kwake; na alipomkaribia, alimwuliza,
Wataka nikufanyie nini? Akasema, Bwana, nipate kuona.
Yesu akamwambia, Upewe kuona; imani yako imekuponya.
2026-08-11 15:37:35
122
Nancy kerubo :
Watu wanajua neno la Mungu huku nje na thy know the right button to press to God ..Eeee Mungu have mercy on me and my family.
2026-08-12 00:12:06
19
megan ollomi :
Lord have mercy on me
2026-08-12 03:57:52
1
user9660593916577 :
ohh Lord remember me
2026-08-12 11:22:25
0
Jep Tonnie :
Nitaomba rehema labda na mm Mungu atanikumbuka
2026-08-11 20:30:21
48
typing... :
Lord have a Merc🙏 amen
2026-08-11 18:20:42
1
Sam Blessings :
Glory be to our Almighty God 🙏
2026-08-11 17:08:44
3
vee-🥹💕 :
Asante ❤️
2026-08-11 16:58:30
0
Diana matari :
MUngu anifundishe kuombaa🙏🙏
2026-08-12 06:04:57
13
El Professor 78 :
Jamani naomba mtu mmoja anielekeze kwa upolee maombi ya REHEMA yanaombwa vipi?
2026-08-12 09:03:03
3
DadaTz386 :
mtu aniandikie hapa maombi ya rehema na mm niwe naomba jamn
2026-08-12 11:39:58
0
nicprecious :
nikweli Rehema inambeba mtu barikiwa sana
2026-08-11 20:34:25
10
It's vee💙 :
Amina barikiwa sqna mtumishi
2026-08-12 08:39:18
2
CHANTAL MWANUKE CHANTAL :
njoo kweli kabisa Mutumishi MUNGU akubariki
2026-08-12 10:46:43
2
Jemima adjabu :
Amen amen 🙏🙏
2026-08-11 20:34:46
4
Esperance :
Amina
2026-08-12 09:03:39
0
JNW :
Waebrania 4:16
Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.
2026-08-11 15:33:13
14
blackbrilliantbeauty :
Asantehh sn limekuja mda sahihi
2026-08-11 17:43:34
7
Frola Ismail :
Ninaomba rehema katika maisha yangu
2026-08-11 22:42:07
4
jaklin :
amen amen
2026-08-11 20:06:30
1
JaneBatezi :
Asante sana kaka🙏🏽
2026-08-12 07:55:34
1
Momyvee♡♤ :
Jmn sauti ya Mungu unaiskiaj🙏
2026-08-12 04:51:50
0
officialhamy2 :
kweli rehema zinanguvu rehema zinatuhifadhi ukijua Kila unachotendewa na Mungu ni rehema zake utaacha kujihesabia haki na kujiona unastahili omba rehema Kila unapoingia kwenye maombi yako
2026-08-11 22:50:34
4
To see more videos from user @gcangel1, please go to the Tikwm
homepage.