Hio ni story hio barafu ipo na it will continue to be there
2026-08-11 21:27:52
1
B the king :
mmmmmh
2026-08-11 23:58:42
0
Natasha Clinton :
nikija mtaniruhu kula hiyo barafu nije nakijiko changu 😂
2026-08-11 20:13:20
12
TK :
Are you sure that is mt. kilimanjaro?
2026-08-12 03:46:24
3
Ichikael Malisa :
beautiful
2026-08-11 18:48:03
0
Chemy new :
hapo ndio kibo au mawenzi
2026-08-12 01:31:28
2
nasma hassan :
Ina ondoka Ina enda wap insubiliee kwanza mm nije nione 2050 😂😂😂
2026-08-12 08:40:57
1
VVS༒𝔥𝔦𝔰 ✈︎𝔞𝔫𝔤𝔢𝔩❥ ∞︎︎🦂 :
mi nngekula iyo barafu😁😁😁
2026-08-11 15:14:30
2
NTUNGI :
bei ni ni shi ngapi Kwa mtanzaniaa
2026-08-12 04:47:42
1
king kora :
one day nitashika iyo barafu
2026-08-11 18:31:33
1
mirna suya :
yaan mm nawaza nikija mm tu kusimama karibu linanifunika😂nawaza linanifunika
2026-08-12 09:56:59
0
Peter Mayemba :
watz bei gan
2026-08-12 04:17:43
0
i'm me🍎 :
ndomaana barid linatutesa
2026-08-12 06:37:02
1
Elizabeth Mosha :
kumbe ni tz na atujuwagi
2026-08-12 08:53:38
1
lightnessenezamba :
mungu anaweza yot
2026-08-12 05:57:54
0
frida :
waooo
2026-08-12 05:04:26
0
Menah💕 :
Ila Mungu ni wa ajabu eti haiyeyuki jamaniiii daah Sir God heshima ako🙌🙌🙌🙏🙏
2026-08-12 00:00:01
0
niko ambae niko :
good
2026-08-11 17:55:37
0
ST. PAUL'S OPEN SCHOOL KIMARA :
serikali ikiwa macho na kuboresha mazingira yalioathirika barafu itadumu daima....hapo hapatakiw kabisa shughuli za binadamu hata namba ya watalii ipungue wwnaopamda kww mwaka
2026-08-12 12:08:23
0
Habbty Rouhy :
Eeh Tanzania 😳
2026-08-12 00:22:04
0
Justine Mramu :
Barafu inazidi kuisha aisee
2026-08-11 23:54:08
0
king kora :
so ina umri zaidi ya Pyramids za Egypt
2026-08-11 18:29:23
0
mt ritha :
shida mnaenda sana huko juu ndo maana barafu inapungua ,wacheni kutuharibia barafu yetu jamani .imebaki kujenga tu vibanda huko.
2026-08-11 15:23:59
0
To see more videos from user @kilimanjaroguide, please go to the Tikwm
homepage.