@fraverofficial: ❤️❤️🥰🥰 #fravercever #fraver

fraver official
fraver official
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 15:14:48 GMT
91787
1510
65
245

Music

Download

Comments

niferjey
niferjey :
nami soon ntajioa
2026-08-18 01:08:01
0
geewakupoa
🧸ğëë wä ķüpöä🎒🍭🫦💄 :
Mnauhakika mapenz hayajamualibu akili ????
2026-08-11 15:45:01
51
raisi.wa.kamkenga
D cute🫦👅 :
ndo kilicho baki tu
2026-08-16 16:15:03
5
jusajo9
jusajo19 :
wadada tunapitia wakati mugumu sana jamani
2026-08-12 17:05:35
11
shaommy.official
shaommy official :
me naelekea huko niliwah kununua cm nyingne nikaweka line nikawa nachat asubuh nachukua cm moja natuma sms ya mahaban hlf najijibu mchana najiulza umekula hlf najijibu na makopa jioni najitakia usku mwema na maneno matamu 😂😂😂😂
2026-08-16 16:00:12
4
kyarey97
🔥Kya💖Rey😍 :
This is wat I was meaning,, ntajiproposia na nijioe Alf nijigift🤣🤣Alf nijizalie🤣
2026-08-14 10:07:55
1
user3978303881844
mamas_lastborn😘 :
kila mtu atachanganyikiwa kwa mda wake
2026-08-12 23:12:45
5
raylie455
raylie :
Yeah it’s so painful cos wanaume kwa sasa wawatuoniiii 🥺🥺
2026-08-11 16:16:33
1
consolata.samson
Eliza mngon🥰 :
kama hawataki kutuoa tufanyeje sasa😂😂
2026-08-12 16:14:13
4
neeemakayesu
Mrs neema❣️❣️❣️ :
kaona mungu anachelewa kumpa mme wa maisha yake
2026-08-12 14:19:59
5
kassimudaugher.001
Gianna💜😉 :
karbia tareh 30 na mimi najivalisha pete🤣
2026-08-12 05:40:02
2
user9407468742275
chugga girl :
sina mda wakupoteza mapenz yakinichanganya natafta pesa🤣🤣🤣
2026-08-17 09:12:34
0
annamgusuhi
annamgusuhi :
ee mungu tusaidie sisi waja wako tunakoelekea sio kuzuri hata kidgo
2026-08-12 12:22:15
1
user7656569949950
redness wella :
jmn mungu tuangalie
2026-08-11 16:25:24
1
a.n.n.i65
A.n.n.i 🦋 :
huku ni kuchanganyikiwa
2026-08-11 15:52:49
2
salehembura
MBURA :
m/mungu atakujaalia upate mwanaume wa ndoto zako pole sana mdogo angu
2026-08-11 15:20:59
2
linetjohn56
🦋Lynnette🦋 :
Ata mm naona nkijisuprise
2026-08-16 04:22:10
0
amidahamza535
A ❤️❤️❤️ :
dah kafanya maamzi magum sana
2026-08-18 13:04:44
0
neynay320
Neynaah❤❤❤ :
Jaman nahis nmmi nakaribia huko😳😳😳😳😳😳
2026-08-17 18:08:21
0
gracey2546
gracey :
hata nitajifanyia😂😂
2026-08-16 09:06:46
0
its_all_about_grace
it's_all_about_grace :
🤣🤣🤣🤣🤣this is on another level
2026-08-16 08:48:24
0
To see more videos from user @fraverofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About