@theprideadventure:

Berakah_Josephat
Berakah_Josephat
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 15:35:03 GMT
938486
72083
1020
5577

Music

Download

Comments

nice_wise255
NICE WISE :
HUYO MWANAUME NI MIMI 😁😁
2026-08-13 16:44:06
233
plato23254
Mimi Sio Wenu 🌹💐 :
Mimi nilikataliwa na wanawake wawili tangia hapo sijawai jaribu kutongoza tena
2026-08-13 13:44:10
90
alimziwanda
Golden Boy😎✨️✨️✨️ :
mimi nakataliwa kilamara ila pia na pata kizembe sana some time na sijui kutongoza
2026-08-12 21:00:17
196
goldboysbarbershop
Gold boy💈✂️ :
mbona kwangu nikama kiburi
2026-08-13 02:14:02
38
ladyzuu31
Zuhura khalifa 🌹 :
Wengine waongo umu kila mtu mm kabsa na wale wasumbufu wakwap
2026-08-13 08:09:38
85
kingniker0
Niker Masunga :
:free simba
2026-08-14 13:51:51
3
azzahdora1
azzahdora :
Daaa niseme kweli tu mi mapenz yananiendesha sana
2026-08-23 09:44:26
36
offcer_05
OFFCER01 :
mbona wametumia picha angu
2026-08-22 07:56:26
50
mbarakasalum185
mbarakasalum185 :
yeah mwanaume anayejitambua anaelewa kuwa thamani yake haitokani na idadi ya wanawake wanaomzunguka bali inatokana na kiwango cha heshima alichonacho kwake mwenyewe hii inaitwa internal validation wanaume wengi huangukia kwenye mtego wa kufikiri kwamba ili wapendwe lazima wawe wanabembeleza sana lakini mwanaume huyu anajua kuwa upendo unaolazimishwa ni mzigo saikolojia inaonyesha kuwa watu wenye kujiamini kusecure attachment hawahitaji kuthibitishwa kila wakati na wengine anapendelea kupendwa kwa hiari kwake mwanamke anayemchagua lazima afanye hivyo kwa sababu anaona thamani yake si kwa sababu wameshawishiwa kwa maneno ya kubembeleza ukizama ndani zaidi utagundua kuwa mwanaume anayefukuzia sana kimsingi anatoa ishara ya upungufu scarect mindset anajiuza kama bidhaa ambayo haina soko lakini mwanaume asiyefukuzia anajiweka kama the price anajua kuwa hisia za pande zote mbili ni muhimu kuliko mchezo wa paka na panya heshima yake ndio ngao yake hawezi kuruhusu tamaa ya kupata mwanamke ishushe hadhi ya utu wake
2026-08-13 08:04:30
70
mchakra_
Rudra Robert :
kwenye komenti kila mtu anasema ni yeye sasa wanao fukuzia ni wakina nani??????😂😂😂
2026-08-13 06:22:57
21
kimujongshari2
Shari k🇺🇬lover boy 💋💛❤️ :
mimi siwezi bembeleza kazi ile nipate hela na nibembeleze na mwenye atakula hela yangu
2026-08-13 03:26:17
62
boonbenson
Ab.skates 🛼 :
kweli kabisa ni Mimi huyo sinaga muda wakufukuzia
2026-08-12 18:48:36
22
abui204
abui mbilizi :
Mbona huyo mimi kabisa
2026-08-12 06:03:27
31
user7972666740859
RAULENT TZ :
mbona kama vile ni mim kabsa
2026-08-12 15:35:41
25
davicyraghamaz
davicy :
uyo nimimi kabisa 😂😂😂😂
2026-08-12 17:17:28
8
doppe.waxy
doppe waxy :
huu ni ukweli kwa ASILIMIA zote 😳
2026-09-01 08:00:33
5
maamunihassani
STIMA_⚠️ :
Kila Mtu Yeye Wote Humu Mnateswa Na Mapenzi
2026-08-14 23:27:17
7
vannyclassic8
Vanny Classic :
True
2026-08-12 05:37:09
5
kendrick.joseph.ch
kendrick :
mbona ni mimi kabisa
2026-08-12 17:21:33
6
rommy_outfits
Rommy_outfits :
mimi kabla ya kuoa nilikuwa nafata sheria saana kama nilivyoona nyumbani baada ya kuoa nilikuja kugundua bint naye anaishi kwa malezi ya kwao ile kutaka kumrekebisha kuwa nnavyotaka ikaonekana namtawala baada ya hapo niliachana na hayo maisha ndoa kabisa sahz sishindanii mapenzi kabisa ukifata sheria zangu tuko pamoja ukiona kukurebisha ni kukutawala hata niwe nmelipa mahari million 100 nakuacha muda huo huo😂😂
2026-08-14 04:36:04
24
last.genius
last.genius :
Free JUMA JUX
2026-08-13 06:36:23
7
mcsharo15
WAJINA Tz 🇹🇿 :
me ni mtu ninae fukuzia na kutumia nguvu kubwa kutoa maneno matamu ili nipendwe zaid akinikubali nakuwa naonyesha upendo wangu wote kwake pia napenda kuwa na mwanamke mmoja tu mpaka naisi namatatizo na apo naona nipo kinyume na ayoo uliyoyataja wewe je kuna ushaur apo
2026-08-13 15:33:43
9
xxxtantion71
ISMHAEL STANLEY :
ndoo mimi ila siko kama unavo sema🥺🥺
2026-08-12 20:10:26
5
proff_249
Zwangendaba :
kwanini weke picha ya uncle wangu sasa?
2026-08-21 17:30:06
5
killyson_23
Killyson_lyf :
Dear sisters listening to understand not to argue
2026-08-12 22:52:38
15
To see more videos from user @theprideadventure, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About