@B_boy:@B_boy:Nakumbuka mwaka 2020🥺🥺🥺 niliitwa na bibi yangu kijijini tanga aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-08-11 18:06:10
2
walter :
dah😆
2026-08-11 15:41:36
1
LENNY 💫 KID💫 :
yanga shikamo
2026-08-11 21:04:15
0
VanillavillageZ :
Jamani wameiba Hadi saplayzi ya Simba
2026-08-11 20:58:20
0
Veronica onesmo :
hata yesu alisalitiwa
2026-08-11 20:54:54
0
thomasruger :
hii ni kama ruis figo kuhama barcelona kwenda madrid harsi ni kama perez🤣🤣
2026-08-11 20:57:41
0
To see more videos from user @steve.champion17, please go to the Tikwm
homepage.