@7teen.tz: jinsi ya kuhamisha kikosi kutoka kwenye simu Moja kwenda kwenye simu nyingine) Data transfer #efootball #konami #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #creatorsearchinsights
ckuiz nikifik tu kweny video zako nna forward had katkat najua ndo issue ya msing inaanzia
2026-10-01 10:44:51
0
Pj :
Sema araka tupite
2026-10-02 01:37:38
0
Mtappy :
How will I link my Squad with KONAMI ID
2026-09-16 22:30:54
2
AMIRI_TWNS_ ☠️☠️ :
kama simu imepotea kikosi kikosi unakipataje
2026-08-11 15:53:41
1
T James 17 :
kaka et efootball unacheza bla mb
2026-09-22 18:31:51
1
Yobe :
kaka nina (SAMSUNG A16),changamoto nikuwa wachezaji wapo slow kwenye kufunga,kukaba,hata shooting. plz nisaidie kutatua hili
2026-08-11 20:52:54
0
💢🎆Razakidd🤴💫72 :
je kama ume linki na Google inawezekana
2026-08-15 06:49:59
2
Itc anord :
naomba kuuliza Kwan ukihamisha kikosi coin mbn kama zinabaki keenye simu ya mwanzo au nilikosea wap
2026-08-23 08:46:15
1
Fa@@Abelly :
broo ivi huwez kuw navikos viwel au ukisha hamisha je unawez kurdisha kikos kilich kuwepo
2026-08-11 23:21:19
0
sadicky A H :
kaka mm nilikuwa nakikosi na nilipoteza sm lakini sikujua kama kikosi kinaweza kulud niliponunua simu nikadalod gemu nanikaanza upya nanikalink kwenye Google sasa baada yakufwatilia sana taalifazako nikagundua kuwanawezakupata kile kikosi chazamani kwasababu chazamani nili link na konami pia na Google nakweli nikafwata maelekezo nikakioata sasa changamoto kile chazamani nikidogo na hikikipya nikikubwa sasa mm nataka hiki kidogo nilink pia ili kiwe salama sasa nifanyaje mana vyote nimelinki kwa akaunt moja ya Google
2026-08-11 16:24:47
0
M2RUKI 🇹🇷 :
kwenye simu iyoiyo
2026-09-06 12:58:48
1
sakara Jr :
kaka simu yangu inatatizo la kulink kikosi tatizo ni nini hapo kaka
2026-09-22 09:40:04
0
Kasonya boy :
Kaka nataka kujua hii kuchange server ni kwel unapata offer za nchi uliyo badilishia server?
2026-08-11 21:07:36
0
GOSTI :
Turakijamani
2026-08-11 15:44:24
0
FREEDOM :
kk asante
2026-10-01 07:31:54
0
Hemedy mokiwa :
kqkh jinsi ya kukulinki kiosi unafanyaje fanyaje
2026-08-27 09:55:53
0
football stories tz :
Mimi nililink na Konami 🆔 lakini Bado nimepoteza kikosi
2026-08-24 17:44:29
0
Battery low 💘 :
jinsi ya kubadilisha region kwenye kikosi chako jee
2026-08-18 11:11:50
0
untochable :
ow kaka mbon mm namnunua Suarez anakataa
2026-08-18 18:00:48
0
zady zady :
u
2026-10-12 19:30:39
0
Baddest nazo :
account yangu ilikua suspended juu ya miaka ni under 18 nitolee yangu mkali nimeimiss sana konami 🥰plz
2026-08-23 08:46:26
0
mpembamsigwa :
mbona hujaelekeza
2026-10-01 20:42:19
0
Hitiler23 :
kkwan na ukibadilisha email nyingine inawezekana
2026-08-21 17:38:03
0
Pajosa 😜🤪 :
ndo umesema
2026-08-11 16:02:00
1
To see more videos from user @7teen.tz, please go to the Tikwm
homepage.