@sindano_show:

Sindano_Show
Sindano_Show
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 15:47:28 GMT
14476
1375
110
44

Music

Download

Comments

joy_station_with_spana
Joystation :
Toka nianze kukufatilia nimeacha bangi, pombe na sigara na maisha yangu yamebadilika sana huu mwezi wa tatu. NAKUKUBALI SANA
2026-08-12 08:29:11
22
chammystar1
chammystar1 :
Can I get help !,
2026-08-11 17:23:43
1
samsonmahayu
MELKISON :
sjawai kuvumilia kuskilza video ndefu Kam hi
2026-08-21 19:05:21
2
hassanshomary1
hassanshomary1 :
kwa nn unataka watu wabadilike 🤔
2026-08-17 06:17:02
3
c.a.l.i.s.t.o1
Rudolf :
kiukwel nikiendelea kuskia video zako ntajikuta naacha
2026-08-12 04:11:16
7
user7925460509404
boyca :
tatizo sio kuacha tu tatizo ni maisha ya kilaa ciku tunayo ishii ndo maana inakua ni ngum
2026-08-12 04:52:49
4
david_msuya
David J Msuya :
true kaka
2026-08-11 20:29:21
4
manueldzuma254
manuel dzuma254 :
shukrani kaka baada ya miaka 15 nimeacha bangi na nimebadilika mawazo appearance na pia luck imeongezekA
2026-08-14 04:07:19
3
adamkessy5
Adamkessy :
sikupingi ndugu yangu
2026-08-13 11:30:08
0
user5169922402110
mvetnam26 Og :
fact of life
2026-08-16 16:59:16
1
northern_ca
Nt :
Nakuelewa sana
2026-08-11 21:37:03
1
kevan_175
kevin^_^😆 :
from today, I don't need it anymore 🥺
2026-08-18 19:37:46
1
shiru.b4
shiru B :
tunavuta tu ila ukwel inazngua
2026-08-15 18:09:44
1
user8752427404762
cahasa brand :
100%
2026-08-27 21:30:50
1
hom.boy00045
Wanyumbani :
Leo day 4 toka niache kaka ila nateseka kulala mwili nausikia unawaka moto nakooma lkn daaah achaaa tyu kaka
2026-08-12 15:55:24
0
peterjohn947
yang p 🐈 :
kwel broo nami najitahidi toka nime anza kukufatilia nime jifunza vitu ving
2026-08-12 05:00:44
1
salim.sego
SeGo :
kiupande wangu bro unaongea point sanah bro unaingea FACT🫡🫡🫡✊🏾💯💯💯
2026-09-06 12:03:30
1
jacksonmbawa
jack's mbawa 86 :
sindano mungu akuweke bhana maneno yako yamenifanya niache bangi niache pombe mungu akuweke bhana miaka 100000
2026-08-13 11:32:11
2
carolenepeter
carolenepeter :
Ninichokiamini kila kilichoumbwa na Mungu kina kusudi hatuwezi kuwa sawa so usitukane wala usione anaepitia kitufurani Hana akili no ilipagwa apite ili wewe uomuone na ujifunze na umuombeee kila mtu aliandikiwa maisha yake kila kitu ni kusudi ishi wewe
2026-08-12 05:28:05
4
v.jay67
V JAY :
Binafsi navuta Lakini nakuelewaaa na Leo ndio nimekufollo
2026-08-11 21:02:46
2
user42816024706017
hussein Petter :
kweli kabisa kaka
2026-08-11 19:10:50
1
shavymdessa7
SHAVY😎 :
Since 28feb 2026 niko sober😌
2026-08-12 08:52:18
1
momosafary1
monica Safari :
Sure
2026-08-11 19:57:21
1
joh.transporter
Joh Transporter :
for sure man
2026-08-11 18:28:23
1
To see more videos from user @sindano_show, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About