@davisnziku3: Akili za mama mkwe😂😂😂

@davisnziku
@davisnziku
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 16:13:37 GMT
28397
2351
70
97

Music

Download

Comments

jitaprincess
Jita princess :
😁😁😁kuna mwanaume Tayari kachukua ushauri
2026-08-12 14:40:48
14
modiddy41
modiddy41 :
Hio nachukua mzee tajarib soon 😂🤣🤣🤣
2026-08-15 14:20:35
2
emanueliniko
mr- niko :
kuna sku nlifika kwenye huo msitu nmeipenda hayo mazingira ni mazuri sana
2026-08-16 17:30:03
1
savy.master8
savy master :
FREE JUMA JUX
2026-08-11 16:25:53
7
askalove5
upendo 🥰🥰 :
Mama yangu amenyoka sana atasema nitafutie mtoto wangu mala moja😂😂😂
2026-08-11 18:18:13
6
amigo.de.gratious4
Amigo De gratious :
unataka tu kuvunjaa ndoa za watu😳
2026-08-16 12:37:47
1
7gangajoel
[email protected] :
mmhh hilo nalo neno ujue
2026-08-13 18:15:34
2
johnkanyika6
ISMAILY 123 :
nachokaaaa 😂😂😂😂
2026-08-11 16:58:36
2
ryiansina
mkali wao :
kuwakumbusha tu
2026-08-15 06:05:29
2
dancanleonard275
DLAPA TZ :
Hatari
2026-08-12 13:40:09
2
arafat_omari
Arafati Arafati Official🏅 :
hii nayo izingatiwe 😅😂🤣
2026-08-12 14:02:42
2
wpkson
Ntawa Wilbert :
kwisha 🤣🤣🤣
2026-08-11 17:14:27
2
user2952318010877
Stephano Anthony :
nziku tuache kwanza basi 🤣🤣
2026-08-12 13:16:02
2
cost23373
cost :
nimekupata kaka😂😂😂😂😂
2026-08-12 14:29:05
2
badkafir
Bad Kafir ☠️💀 :
hahaha
2026-08-11 17:14:35
2
makntoshi
makntoshi :
mke wangu anuogopa mama yake kuliko mimi🤣🤣,
2026-08-16 09:32:37
1
professorl68
shaban :
kaita brother mala 2 hahaha asee
2026-08-16 07:24:46
1
samuel.mwimbwa6
samuel mwimbwa :
Habar za mama mkwe sitak ata kuzickiaa,,mm mwenzenu niliambiwa mtoto wake sio mumunyaa.Hatar sana!!!!
2026-08-12 12:48:06
2
user6380008024762
Grace p :
sawa mkuuu😂😂
2026-08-11 16:16:56
2
kgmkwawa
KingOg :
Siku moja naongea na Mama Mkwe akiwa na Mwanae nauliza Mpo wapi anasema tupo hapa Nyumbani kumbe wapo kwao 🤣🤣 Tangu siku hiyooo nilijisemea Kuanzia leo Mke sio Wangu tena nikaendelea kuishi nae Yeye haujui kama nilishamwacha🤣🤣
2026-08-12 14:40:38
4
babuuu.kisauuuji
BaBuuu.KisauuuuJi :
😂😂😂 we jamaaa nouma,imeisha hiyooo
2026-08-11 17:14:55
2
kiduduwa
@kidudu :
makosaaa shashaaa😂😂
2026-08-11 16:18:22
2
lilema_tv
Lilema_tv :
yaaani nachoka mie
2026-08-19 11:41:37
1
user4670884281725
user4670884281725d :
🤣🤣🤣🤣🤣kaka
2026-08-12 09:05:02
0
To see more videos from user @davisnziku3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About