@youngafricansscofficial: Hakuna muda wa kupoteza Selemani Mwalimu kazini🔰💪🏽

young africans sports club
young africans sports club
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 16:28:45 GMT
126228
19050
509
223

Music

Download

Comments

tz_boy_cow
Tz_boy_cow :
Kila nikikumbuka tuliambiwa macho kwenye screen uume wangu una sinyaaaa🥺😭
2026-08-11 16:57:18
205
hansy....3
Hansy🦅 :
GSM tunaomba umsajili MO
2026-08-11 16:48:59
110
kareemzaibjabir
🎈Kareem Zaib😮‍💨Jabir🤴 :
Ila FOOTBALL bana😅😅😅😅😅😂😂💔
2026-08-11 21:20:33
0
jefclo
Jef_Clo. :
See the Aura when he walks in😅😅
2026-08-11 20:24:18
0
fedrick.faida
fedy the prince :
hellow wananchi
2026-08-11 17:02:32
0
xcott_12
Xcott_12 :
Mbosso once said. Selemani we selee…….😂
2026-08-11 19:57:54
0
peacandmoney1
BURACK💞 :
hali ya ahmedi ali tangu asubuhi mpaka sas
2026-08-11 17:23:54
39
geita.roadlife
GEITA RoadLiFe 🛡 :
hiiiiyoooooooooooooooooo keshooooooooooo iyooooooooooh
2026-08-11 18:41:09
0
ibraahkidds
Ibraah~kidds 👑🇿🇦 :
Wananchiii mwakanii tenaa 🔥🔥 Kam unaipenda yang gonga like apa
2026-08-11 16:32:09
46
rayclassic3
Tonton luc raymond :
mwamba
2026-08-11 21:00:31
0
kidalipambe
kidalipambe :
kijana kufika tu kashaanza kupata nuru ya uso
2026-08-11 17:36:40
22
madinajuma65
madina ☪️🧕 :
laha nasikia mm tyu au kuna wengine 😂😂😂
2026-08-11 16:34:32
38
afterbiololo2
M>:🤍🌸 :
Sele ndo kanifundisha unaweza kutambulishwa ukweni na usiolewe😂😂😂
2026-08-11 20:47:06
9
ngomuojr
Ngomuo jr :
kazn Kuna kaz ila yanga unaweza lala ukaamka ukakuta wamenunua simba😂
2026-08-11 16:34:34
19
romypaulo1233455
Romy :
simba inachekesha kama sio timu yako 😂
2026-08-11 19:27:01
10
ommarleymsomali_77
it's ØmmarleyMsømali_77🇸🇴✅✅ :
hivi ukitaka kusema "roho mbaya haijengi" kwa kizungu unasemaje?😏😁😂
2026-08-11 18:39:11
7
steven.nason
Nason 💎 :
MO ni mwananchi
2026-08-11 19:14:16
7
peterzabron169
great man :
hamjui kuw simb alikuw anaanzia banch
2026-08-11 17:09:52
5
tariqkess
TARIQ 770 🌍🌎 :
mbn mnataka kuifanya Taifa stars iwe yanga kama Spain national team ilivo Barcelona. mimi mwanayanga lakini tuwaonee huruma watani zetu GSM mkubwa inatoshaaaa YANGA BINGWAAA🔥🔥🔥😂😂
2026-08-11 16:37:02
16
jud.com7
Judy🦋❤️ :
Yaani hadi uyo selemani anajiskia rahaa kuwa yangaa🥰💚💚💛💛
2026-08-11 16:55:26
10
khamis_ninja
nANjeNU_ChiKuVi👑 :
sku tutaamka tutakuta @ahmed Ally msemaj wa yanga😅
2026-08-11 16:34:04
14
user7135628767083
official brinah :
Tena anafrah mwenyew ila sele 🤣🤣🤣
2026-08-11 16:59:26
9
www.kevo13keto
kevoo :
mwenye nyimbo ya mbosso seleman apige asiweke chichikichik
2026-08-11 17:13:20
9
To see more videos from user @youngafricansscofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About