mwisho wa hii video kuna kitu nimeona kama kuna kamchezo hivi 🤣🤣
2026-08-11 21:56:14
52
Venas Zabron :
apa saw at nimeamin you is the best magic in tz
2026-10-09 10:34:08
2
unknown :
fact broo unajua kinoma
2026-08-11 16:34:45
8
Priscar Msemwa :
aujui
2026-09-20 09:55:48
1
pashy_pappy🤑 :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman😂😂
2026-09-18 08:50:16
8
Ohä🥷 :
kamba ipo chin ya mguu, kamb ukiifung kwny mrij alafu kamb ukiivut kw chin mrij lazim upande juu
2026-08-13 13:50:21
9
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-17 15:08:38
5
Mess 🇺🇾🇺🇾 :
Uyu jamaa anajuwa ila bongo ni wivu sana
2026-10-11 18:35:15
2
The GREATEST K•A~khaled :
mwanang we noma me skupingi
salute 🫡
2026-09-11 15:12:37
1
SON :
sijafatilia kwa africa bado ila kwa Tz we ndo the best
2026-08-20 13:06:41
7
prince_paul :
usiamini chochote kwenye social media
2026-08-17 16:06:23
1
DIOR Jr :
oya kk nakukubal miak yote
2026-09-04 18:14:05
1
Mr Samantha🌕🥷🏿 :
yoooh🙌🏾
2026-08-11 20:27:42
1
Mr og.d064 :
nashindwa kuelew 😳🥺🥺🥺
2026-08-23 12:14:44
1
🦋💦fêïtty Dëēh💦🦋 :
video ilivy kuwa inaanza kavaa kikamba chekundu mkono mmoja mda inaisha ghafla ty vimeonekana kavaa mikono yote miwilii 😜
2026-09-26 14:53:16
1
Raxheno :
ikifika 1m mnikumbushe
2026-08-11 16:35:08
6
BOYA MC :
kaka umetisha
2026-08-11 16:44:50
4
Rama chidy ❤️ 😍 :
unajua kak
2026-08-11 18:04:33
2
Reghan :
kaka napataje icho kitabu🤔
2026-08-24 21:28:09
0
iamgodwill :
asa sisi vishazi tumekukosea nn asee🤣🤣🤣🤣
2026-08-13 13:01:15
1
Chatterbox 💥💎 :
miwani kiongozi hiyoooo
2026-08-23 18:06:21
0
official d🫦💕 :
Nashindwa kuelewa😳😳
2026-08-11 19:39:24
2
To see more videos from user @boomtz_, please go to the Tikwm
homepage.