@chobis_twins: Wangapi wamesikia huko mwisho🤣🤣🤣🙌🙌🙌…. OK, Keep streaming sio kwa ubaya Link on our bio👆🎵🎼🖤

Chobis_twins
Chobis_twins
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 16:30:57 GMT
1047127
87995
1410
1147

Music

Download

Comments

jitubaya994
JITU BAYA :
daaah kumbe nawaangaliaga nikiwa nimelewa aaaiiiseee nyiee ni wabaya kaaah🙌🙌🙌
2026-08-12 05:50:04
219
materinebelle09tz
Madam_ Belle. :
goma kali limeenda nimesikiliza kwenye daladala tumepack tunalia kuanzia dreva kondacter na abiria wote khaaaa
2026-08-11 21:23:42
769
sanlizy122
sanlizy122 :
Dotto anaimba kwa hisia saana
2026-08-12 06:24:53
49
la_makamera
Socond born :
mm nikoa naoa wote, siwez acha copy ya mke wngu ikatumike vibaya mtaani😜😂😂😁
2026-08-15 08:16:38
96
yasintadavid
baby teddy💞🥀 :
Nimejifunguwa twins jmn wakike na wakiume mngu fundi jmn kanipa nilivyo muomba❤❤❤❤❤
2026-08-18 13:49:50
245
moussambaye1984
moussambaye1984 :
HARMONIZE and DIAMOND PLATNUMZ do something for these twins please
2026-08-30 10:30:40
1
yasinterevaristy6
cityaa😜🥰 :
kama XOUH Yan sura mpak sauti
2026-08-13 08:03:58
42
ben_nitto
Ben :
kwani hamjui wimbo ingne,,try another song
2026-08-22 09:35:32
5
lady.ov.integrity
lady ov integrity :
please the title 🙏
2026-08-17 11:13:44
5
user2050555510119
Swaumu mashaka :
jina la nyimbo pls
2026-08-11 19:12:21
15
charles.onapa
Charles Onapa :
name of the song please
2026-08-12 14:57:56
7
cantonazedon
Cantona ze Don :
hakuna nyimbo nyingine mnaweza imba tofauti na hiyo😳
2026-08-15 09:44:17
22
jsvannyhemilless
Js vanny hemilless :
kwahiyo hapa nikitaka kuoa nawaoa wote😂😂
2026-08-17 19:39:03
32
mihra138juma
@mihra124juma :
naomb jin lanyimbo
2026-08-30 18:40:55
1
angel51045
Angel😇❤️ :
dah me sio mtu wa kulilia mapenzi but hii nyimbo imeushitua moyo wangu🥺
2026-08-12 17:52:17
8
_rayray04
RayRay :
nikakimbia kudownload
2026-08-14 17:44:07
1
angelinaclement6
officialAngel😇 :
mnafanana na Asima
2026-08-18 16:40:05
5
fatma.mwashu
Fatma Mwashu♥️🥰 :
this song tamu Sana ❤️
2026-08-26 15:34:40
1
chenzhen806
OfficialCHENZHEN🇨🇳 :
hii song yenu inafaa sasa niusikize
2026-08-11 16:50:40
10
choseninfinity3
Skyner-mbape 🇹🇿 :
dua zangu kwenu mfike mbali mpate wakuwashika mkono
2026-08-12 04:32:50
9
gucci00272
Mr Gucci🇿🇦 :
Mashallah
2026-08-12 12:43:04
1
user2770947778099
user2770947778099 :
wadogo wa esma hao
2026-08-27 07:52:47
1
user619625822868
Black man :
si mtoto WA mtu anianibreak moyo nimtumie hii wimbo
2026-09-06 17:46:56
0
user5497554159220
s love :
inaitwaj
2026-08-25 09:07:15
0
To see more videos from user @chobis_twins, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About