Tanzania toka uhuru mpaka leo waalimu ni wawili tuu mw Julius Nyerere na mw John Heche akili kubwa sana .
2026-08-11 19:04:15
19
MUFĄṢ̌3Ř :
aloo weee
2026-08-11 19:17:04
0
duvias :
fact respect
2026-08-11 18:44:09
0
baba Brian :
John Heche, the BIG BRAIN.
2026-08-11 18:17:22
9
manvet :
camera za ITV zina sikitisha sana
2026-08-11 19:44:31
6
Ami go tz :
hizi kamera itv ni taharuki jaman siwangeazima hata cm ya heche au
2026-08-11 21:31:08
4
Ally mkassa :
Toka nimeacha kuwaamini Wanasiasa nakuanza kumtegemea mungu moyo wangu umekuwa na amani sana
2026-08-11 16:59:09
6
j marw :
Heche umetisha
2026-08-11 18:11:07
7
moses_simkoko :
heche Mungu amlinde
2026-08-11 20:23:25
2
fadhil@ :
itv mnatumia camera za mwaka gani jamen
2026-08-11 18:32:19
4
bonimtoto :
Great 👍🏻
2026-08-11 19:48:34
1
Mr. Kichwa :
Hata cku moja
2026-08-11 18:27:47
2
Marco :
Dada anapewa Lecture
2026-08-11 19:11:36
1
user7319126820929 :
mh hapo pamoto dada
2026-08-11 19:14:56
1
@kaka kp tz :
nikweli
2026-08-11 18:04:28
3
Mujitaba Mickidady :
hapo kwenye nchi naserikali nimeelewa
2026-08-11 17:20:37
4
Mat Tz :
Hiyo dada anahoji au anahubiliwa ila ukweli ccm kilicho baki ni ubinafisi tu kinacho semwa hapo ni ukweli mtupu mfano tu kwenye hali mashauri zetu tukiwa na wakurugenzi inatosha cheo cha wakuu wa wilaya mikoa kifutwe kabisa hayo magari ya kifahari milioni 400 had 600 ya wakuu wa wilaya mikoa
2026-08-11 19:42:37
2
MUFĄṢ̌3Ř :
dada kaelewa somo
2026-08-11 19:20:49
1
ErnestMethod :
mwenye akili ndo ataelewa achana na simba na yanga!!?
2026-08-11 21:47:15
0
samata_tz :
dada hana neno
2026-08-11 22:22:02
0
NDECKILAND :
Tukumbuke mwisho wa siku Siasa ni kazi Kama Kazi nyingine
2026-08-11 22:03:39
0
Shkopafundy1 :
Majina ya John Wana jua jinsi ya kuongoza nchi fatilia hiii...
2026-08-11 22:17:41
0
noelmatemba53 :
sema hii ningeangalia yote
2026-08-11 22:11:38
0
To see more videos from user @were_one_, please go to the Tikwm
homepage.