Kipindi mdogo ilinipa trauma hii movie 😂😂😂. Allah atusamehe tulipo kosea na tufe tukiwa Waislamu
2026-08-12 16:50:31
283
sami🪽 :
🥺🥺🥺🥺 hivyi imagine huyo ni mtu tuu kaigiza lakin anatishaaa vipi huyo malaika mwenyewe 🥺🥺🥺🥺 mungu atujaaliye mwisho mwema wallah maan daah🥺🥺🥺😔😔
2026-08-12 16:14:27
125
a c :
astagh firullahulldhii laaila haillaaa huwalhayyul qayyumu waatubu ilaika. yaaa rabbana tunakuomba utusamehe tulipo kukosea na utuwie radhi zako pia utufishe haliyakua uradhi na sisi inshaallah
2026-08-12 15:22:13
25
Cute_little_zuu💫💫 :
Allah atujaalie tuwe na mwisho mwema
2026-08-13 05:28:06
23
sabra 🦋 barbie🌹🫦💄 :
zamani nilikuwa naogopa sasaiv naona kawaida ila nimeelewa maana y hii muv😊
2026-08-12 17:48:31
23
❤️❤️ :
Ya Allah nijalie mwesho mwema kwa rehma zako uniondole uchungu wa kutoka roho yangu yaraab🥹🥹🙏🙏
2026-08-12 10:52:09
17
Black Eagle 🦅 :
😅😅😅 kwaiyo malaika izrail mweusi alafu malaika mwema mweupe, kwaiyo sisi watu weusi ni mashetani au,
2026-08-13 16:54:36
6
madina😜😜 :
Allah atujaalie mwsh mwema na tuf tulia wat weny din
2026-08-17 19:55:26
4
Abdoully Shomary :
Yeah Allah tujaalie mwisho ulio mwema na Utusameh tulipo kosea
2026-08-15 17:47:25
5
Emmy wa adobless 💍🦋❤️ :
Ya Rabbi tujalie mwisho mwema kwa Rehma zako 🥹
2026-08-17 10:37:30
4
🌿Its'Sabby🕊🤍 :
allah atujaalie mwisho mwema pia atujaze imani katika ibada zetu
2026-08-15 10:31:49
7
halima222 :
Allah tujalie mwisho mwema amiin
2026-08-14 12:44:58
2
ummubintrama :
Yaarab tunaomba mwisho mwema Yaarab laalamini 🤲🙏
2026-08-19 08:12:26
5
ummuh Rayaz :
Allahumah jaaln husnul khatimah
2026-08-13 11:08:09
1
isharozar67 :
huyu alie fanya hii walai daah first amewatia watu hofu kuwaonyesha mungu yupo na tuendako tufanye mema na sio maouvu ya allah mm pia hukosea na wenzangu pia tujaalie mwisho mwema ya allah tusamehe dhambi zetu za siri na za dhahiri amin ya rab tuishi tutakavyoishi lkn tutarudi kwako 🥺tusamehe ya allah
2026-08-12 15:30:47
5
Miss sabby🥰🥰 :
Dah🥺🥺🥺🥺 hivyi imagine huyo ni mtu tuu kaigiza lakin anatishaaa vipi huyo malaika mwenyewe 🥺🥺🥺🥺 mungu atujaaliye mwisho mwema wallah maan daah🥺🥺🥺😔😔
2026-08-13 09:13:08
5
Mélanin magic ❤️👌🌹🖤 :
ulijuaje wwww
2026-08-13 13:18:04
0
NASSR 🥇 :
Emola tupe mwisho mwema allah 😭😭😭
2026-08-14 18:30:23
2
khadija hamuza❤️❤️ :
subuhanallah yarabbi tunakuwomba mwisho mwema 🤲🤲😭😭😭
2026-08-14 15:18:17
1
sister❤️🔐 :
Subhannallah mpaka nimeogopa wallah
2026-08-13 14:00:18
1
Leyfran :
Kila ninapoona hivi nazidi kumcha allah allah atujaalie mwisho mwema allahuma ameen 🤲
2026-08-14 16:19:36
1
Ibz_king :
Allah atujaalie mwisho mwema
2026-08-13 07:24:25
2
SALIM :
uku nikunomaa .nakumbuka sikulala nilipo hitizama
2026-08-14 18:11:26
2
salma :
Inalillah wainairah raajuun allah atujaalie mwisho mwema aminiii yarab
2026-08-15 16:36:55
4
To see more videos from user @director_lai, please go to the Tikwm
homepage.