@haroubsaid: Maiti itafika Zanzibar kesho Inshaallh Ila hatujui saa ngapi tutazika Ila taarifa zote zitaendelea kutolewa#Innalillah #zambciantiktok🇿🇲 #zamzambc #oman🇴🇲
Wallah hakika ssi n wa Allah n kwake tutarejea mbel yake nyuma ytu Allah ampe kauli thabit amsamhe madhbi yake ya sir n ya dhahir 🥹 Ameen 🙏🏽🥹
2026-08-11 17:28:53
258
HAMIDA RAMADHAN :
poleni
2026-08-12 08:16:44
0
arrya butu :
poleni wanafamilia na mkewe Mungu ampe nguvu
2026-08-11 18:12:45
107
luish :
Rest in peace
2026-08-12 08:03:42
0
amoobby :
innalilah wainnailah rajuun allah apunguzie azabu ya karibu😭😭😭
2026-08-11 18:06:20
69
Sonia dangote :
iyi siku yisikia Kwa mwingine 🥺Inauma Sana 😭
2026-08-11 18:05:16
58
Happy Suzy :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭japo simjui roho imeniuma mm🥺
2026-08-12 04:34:51
26
Khamisi Masha :
Innalillahi wainna ilahi rajiun mola ilaze roho yake peponi🙏
2026-08-12 04:16:44
28
الخاروس :
inna lillah wainna ilaih Raajiun
huyu ni yule kijana alie kua anaumwa mke wake akaomba msaada
2026-08-11 22:35:05
20
LEILA :
msiba upo zanzibar sehem gani😭😭
2026-08-11 17:32:00
13
Oman :
pole mke wa marehemu
2026-08-11 18:40:53
9
amina kiano :
mwenyezi mungu amlaze Mali pema peponi inshallah 😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-11 17:39:17
20
mercy :
Subuhanallah Allah amsameh na amuondolee azabu za kabli
2026-08-12 04:46:18
9
Rey Rey :
inna lillah wainn illah rajuun,, uyu c alie pelekwa nje ya nchi kwa ajiri ya matibabu?? ama nafananisha??
2026-08-11 19:44:49
17
Amida Omari 🇹🇿🇴🇲 :
Inalilaah wainaalilaah rajiun mbele yake nyuma yetu polen ndugu Allah ampe kauli thabiti amiiin
2026-08-12 03:39:32
6
Sauda Khan❤️💕 :
daa mwenyezi mungu ampe kauli thabit ameen yarabbi 😭
2026-08-11 17:25:02
15
Fatma❤🧸🦋 :
😭😭😭Allah amuangazie nuru na amsameh makos yak ya sir na dhahir
2026-08-11 17:24:02
10
Iptysam Jamal :
mbele yake nyuma yetu m mungu ampe kauli thabit inshallah
2026-08-11 19:43:07
6
Hasal07🥰 :
jamn achan mashara ila huyu haroub anajichetuwa akil il ana hurum san allah azid kukupa moyo uw uw w ruhuma n atupe khatm njem kw sote inshaallah mbele yak nyuma yetu 😭😭
2026-08-11 17:53:09
8
Shani Mwipi :
poreni jamani pole mwanamke mwenzangu ulijitahidi kumpambania mumeo mungu akufanyie wepesi pole sana kipenzi kufiwa kugumu
2026-08-11 21:18:49
5
Amina Hozza💕 :
Inna lillah wainna ilah rajioun Allah amsamehe alipoteleza hakika ni wa Allah na kwake tutarejea 😭
2026-08-12 07:11:14
1
To see more videos from user @haroubsaid, please go to the Tikwm
homepage.