@matukioonline_tv: #HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza wananchi wa Zanzibar kwa kudumisha amani na kuonesha ukomavu wa kisiasa na mshikamano wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza na wananchi na wanaCCM katika eneo la Kisonge visiwani humo, Dkt. Samia amesema mshikamano huo ulichangia kupandisha ushindi wa 97% ambapo amedai kuwa wale wasioitakia mema wanahoji ushindi huo.

Matukionline Tv
Matukionline Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 17:28:51 GMT
6529
75
10
5

Music

Download

Comments

precio4liferr
precio4liferr :
sijaelewa hapo wabara ndo tuliishiwa pawa au wapinzani?
2026-08-11 18:50:08
0
mauasadani
Mauasadani :
mmmmmmmmm
2026-08-26 19:47:24
0
user24024190945116
user24024190945116 :
Wanajitoa ufaham wakati waliishiwa nguvu, safiiiiiiiiiiii sana mheshimiwa Rais wetu kipenzi 🙏🙏🙏
2026-08-12 20:22:37
0
yohana.mhagama3
Yohana Mhagama :
polic oyeee😁😁😁
2026-08-11 20:22:47
0
lilly_blesses
LillyAnne :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-11 17:39:23
1
jonso.lyimo
Jonso Lyimo :
sawa pawa
2026-08-12 05:29:54
0
shukuru4312
shukuru :
😁😁😁😁
2026-08-11 19:01:59
0
swagz1234tz
KISWAGA FREDY :
😳
2026-08-11 17:40:26
0
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About