@tanga_tanzania:

TANGA TANZANIA
TANGA TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 18:56:40 GMT
59833
2460
67
217

Music

Download

Comments

mawilli15
user6999470852614 :
to nice my president Samia tupo pamoja
2026-08-12 12:14:46
0
babasuheil
IBRAHIM GRAPHICS :
Hizi ndio show ambazo naweza kulipa nikaangalia sio wale wa Piga keleleeee
2026-08-12 08:56:46
14
wasaficlassic818
T BOY MSAFI :
mashallahw umeimbaaa ipasavyooo
2026-08-12 05:36:26
1
saifsaify20
saifsaify20 :
Mambo ya zanzibar taarab za zaman raha🥰🥰🥰
2026-08-11 20:12:23
22
brotherhasao
HASAO :
mama tunakupenda sana, enjoy na maisha hawa wanaokupiga vita waache visukari viwapande
2026-08-12 05:37:34
22
ally.bushiri74
Ally Bushiri :
very nice
2026-08-11 20:55:36
1
ntungi7
NTUNGI :
kweli doctor samia una furahia taarabuu murua nzuri Sanaa
2026-08-12 05:02:09
8
khadijakondo7
Sweet Product 🙏 :
Wazanzibar hiyo ndo asili yetu tunapenda Sana Taarab
2026-08-12 11:12:39
4
mohammednassor275
Mohammed Nassor :
VYA kale Dhahabu bhanaaa!!!
2026-08-12 03:12:49
5
iscoskills1
derector isco :
kupafrome kwenye Umat wa watu alaf viongoz wakubwa lazima uwe na hofu ata km unajua
2026-08-12 07:13:34
2
yussufu.hamadi2
Yussuf mrus :
itaitwaj hii nyimbo
2026-08-12 05:12:03
1
mwaka308said
mamyto :
wacheni kulia wivu💃💃💃💃🥰
2026-08-12 03:28:04
3
sheikhaissa8
sheikh :
Khadija baramia hiyo Allah amrehem
2026-08-12 15:18:36
0
bhaidispatch
bhaidispatch :
Kituma wetu🥰
2026-08-12 04:36:45
1
ysop8
صالح :
Mama ujiombee duwa la kusema. Hasbia llahu wanaema Al wakili mara nyingi yule hasidi amuhukumu mungu
2026-08-12 15:39:03
1
azizialawi106
MA AZIZA VIJORA QUALITY :
mama tumempenda wenyewe wenye wivu mtajiudhi wenyeweee
2026-08-12 05:54:55
4
suleimanally984
suleiman984 :
Wenyewe wapo wapi ata km mama kasema sijapenda watu wanaimba
2026-08-12 14:00:09
0
mshashi35.com0
Miyamoto Mshashi. :
Kazi na dawa, piga kazi Mama Allah anakuona
2026-08-12 10:29:07
1
shory.baby75
Shory baby :
me nimependa❤️
2026-08-11 20:03:29
2
user8611910553923
Dazai :
Maa Shaa Allah mama ametulia anaiskiliza kwa makini wimbo za kale ni dhahabu ni kweli kabisa waliosema hawajakosea
2026-08-12 08:20:39
0
buthaynah40
Buthaynah :
Nakupenda Boss wangu MamaSamia 🥰
2026-08-12 11:25:05
0
user8281618476091
user8281618476091 :
Mam❤️
2026-08-12 08:47:07
0
fabrahman0
Fabrahman :
hongera best wangu wajina wangu tuma
2026-08-12 04:00:19
0
salumfaiz
Salum Faiz :
asili haipotei nzuri sana
2026-08-12 17:29:16
0
To see more videos from user @tanga_tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About