@dskileo: Muda nilio anza kuona mabadiliko katika maisha yangu, ni baada ya kuamua kubadilisha mambo haya 👇🏻 Niliacha ULEVI Niliacha UHUNI-UZINZI Niliacha CHUKI-Sichukii mtu hata iweje Niliachana na mambo CLUBS nikareplace na Maisha ya IBADA Niliacha UCHOYO nikaanza kusaidia wengine Ukiniangalia unaweza sema naonekana kama kijana wa kitandawazi, ni kweli ila muonekano wangu na aina ya maisha ni tofauti kabisa. Unachelewesha kufanikiwa kwa kuendelea kung’ang’ania maisha ya UOVU, UBAYA na UDHALIMU Badilika 🫵🏻

brandingdanny
brandingdanny
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 19:50:22 GMT
4276
531
34
6

Music

Download

Comments

inzana70
Aneth🌸✨ :
wishing u more wins brothers❤️✨
2026-08-11 20:13:58
0
suzieshayo2
Ritzysuzy🥰🥰 :
Danny naomba mmoja! I promise i will behave 🥺
2026-09-02 14:18:44
0
nguzacute2
nguza🦋 🦋 🦚 :
Naomba mungu sana anipe mume mwenye kusema nae kila uchwao nawapenda😍 😍 😍
2026-08-11 19:57:37
1
ndali.og
Ndali.Og :
Nawezaje kuliacha hili penzi mimi jmn 🙌 maana ndo changamoto ya kwanz😂 afu la mume wa mtu
2026-08-11 20:40:06
0
enjoymatata
Angie💋 :
Keep praying and believe in your self 🙏💝
2026-08-11 20:01:00
0
sally.shayo
Sally Shayo :
Tell them bro 😎
2026-08-12 11:09:22
0
ms34852
ms@@@🥰🥰🥰 :
God is first 🙏
2026-08-11 20:01:43
0
miss.milly619
miss milly❤️ :
God bless you sir🙏
2026-08-11 19:56:26
0
lucydavid555
silvercoco :
Amen kaka
2026-08-11 20:32:48
0
calvin.partson
Calvin Partson :
Role model
2026-08-11 19:56:11
0
mercy.mndasha
Mercy Mndasha :
waoooo vzr
2026-08-22 08:24:31
0
g.m4576
G.m :
amen
2026-08-11 19:57:32
0
letysage
letysage$ :
wote mmeoa?
2026-08-11 21:04:46
0
pretty.jessy01
@_it's_me_Jessy❤️🌸 :
I truly appreciate your efforts🥰and kuna vitu vingi nagain kutoka kwako 😌Mungu azidi kukubariki jamn🥹🙏
2026-08-11 20:22:19
0
simkoko.jr
🇿🇲SIMKOKO🇹🇿 :
Jesus is king 👑
2026-09-26 18:45:29
0
babyp876
👑Baby 'P'❤️ :
Mungu akubariki kipenz Maana unatufundisha na sisi wengine turudi kwenye mstari 🙏🙏
2026-08-11 20:13:51
0
itsfetty06
teemah🦋♎️ :
Upo sahihi kijana😌
2026-08-11 19:54:51
0
sabrinazuber21gmai
Sabrina💞💦 :
sahihi sana asee MUNGU anaitaji tutoke kwenye njia zisizo sahihi ili ukuu wake udhihilishwe kwenye maisha yetu ubarikiwe san
2026-08-11 20:37:02
0
pilikoksi
pili koksi😍 :
mm napenda mkaka anayesali km nyie mbarikiwe sana heri wamtumainio bwana watapata baraka mbarikiwe sana🥰🥰🥰mnanivutia sana Danny u have good friend of GOD
2026-10-01 02:39:18
0
devothajulius10
Dove Julius 🙏 :
stay blessed 🙏
2026-08-11 19:55:29
0
sherryendless
🫧🎀sharon🫧🎀 :
Sa me ningekuwa shemasi apo kunna shido kwani😂😂😂
2026-08-11 20:03:39
0
ms.blessing15
ms.blessing🫂❤️ :
No PRAYERS🥹🙏✝️ñ hustling,No SUCCESS
2026-08-12 09:44:25
1
wini.joseph4
Wini Joseph :
🙏
2026-08-20 23:17:39
0
naah5862
Naah💫 :
👍
2026-08-11 19:59:15
0
veekhan.beauty
veekhan😚😚😚 :
🥰🥰🥰🥰
2026-08-12 09:41:07
0
To see more videos from user @dskileo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About