@mtoch_clinic: kwa mlio taka kuona wagonjwa waliopona angalia video mpka mwisho na kwa wagonjwa wenye matatizo kama haya msiwaweke wagonjwa ndani tiba zipo kalibuni sana #mifupa #herbal #mtoch_clinic #fypシ #orthopedic

𝙈𝙩𝙤𝙘𝙝_𝙘𝙡𝙞𝙣𝙞𝙘🌿
𝙈𝙩𝙤𝙘𝙝_𝙘𝙡𝙞𝙣𝙞𝙘🌿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 19:58:02 GMT
53155
2166
145
181

Music

Download

Comments

khalidkichuya732
Nescremental :
M/mungu awaongez maarifa mzidi kutibia watu
2026-08-14 15:44:03
18
blanles9597
Blanles 9597 :
natuliopo mikoani je
2026-08-17 23:06:29
1
reginainnocentbak
Blandine :
jamani kaka yangu mbona nakwandikia lakini hunijibu
2026-08-12 03:03:25
3
user17353074107866
Timber 003 :
awe pole, bt akiwa sawa isha'allah tutamushukuru Allah
2026-08-12 05:52:08
2
user20442496
Bint hussein shariff♓ :
yaani mimi ningekomaa nao mpaka wamtibu tu
2026-08-18 11:43:55
0
abedinegomwasanyamba
ABEDINEGO MWASANYAMBA :
mkuuu kuna mototo kazaliwa hatembei inawezekana akapona
2026-08-12 10:10:33
1
kadadaa88
kadadaa88 :
wakipona tupostie tuwaone
2026-08-12 05:04:51
1
kuntykinangu966
Kunty Kinangu :
allah amfnyie wepesi
2026-08-12 09:13:59
0
makambako_kijombe_njombe
dAnStAn :
ngoja niwa follow kabisa kwa msaada wa wengine
2026-08-12 13:12:49
1
jamilasnyakibali
jamilasnyakibali :
Mtuonyeshe maendereo yake mtoto
2026-08-12 02:46:19
1
abbytifa
LATIFA | malezi na ukuaji :
Amina,Amina, Amina sana mwenyezi mungu wetu ni mkubwa sana
2026-08-17 04:39:50
3
aloycesingaile
Aloyce @MKEMIA :
mm nahtaj huduma yenu tafadhal
2026-08-13 18:39:43
0
amina.furahisha
Amina Furahisha :
ukonga sehemu gani mwanangu mguu mmoja anachuchumia na mikono aina nguvu
2026-08-12 21:56:00
2
ray615628
Ray🇯🇲 💋🇪🇹 :
Kazuri katoto jaman
2026-08-12 06:27:19
1
queenkibebeti
Queen Kibebeti :
vipi pingili zilizo ungana?
2026-08-12 10:49:36
0
kaamil61
Kaamil Bin Bahfif :
mko wapi jamani
2026-08-12 02:19:33
0
preetygalryd8
preetygalryd8 :
Mungu akupe nguvu kaka kwa msaada uwo
2026-08-12 07:15:11
1
salvie_2.0
mozanshimirimana :
next
2026-08-12 00:37:41
1
rosehayatta677
rosehayatta677 :
fanya hadi akipona umlete humu tumuone
2026-08-12 16:46:29
1
salumhussein736
salumhussein736 :
polee wazazi tunamuombea apone
2026-08-12 04:32:21
3
kassim1163
kassim :
mkuu mm ninashida ya pingiri 3 zinashida na 1kutoka kiunoni kuja juu imezidi kuvimba disc maumivuu ni makali sana nashindwa kutembea vizur
2026-08-12 14:57:29
0
zawadi_decoration3
zawadi Home decor :
alafu haon ma Daktari wanaonyonya maji kwenye uti wa mgongo huwa hawana uzoefu mdogo wangu walimnyonya hivyo akutembea tena 😭😭 na dawa kali walizokuwa wanampa Hadi figo kualibika Mwisho kufariki
2026-08-12 00:35:07
2
belindarobi
mamake :
doc aki wangu pia ajatembea lakini shida yake visigino avifiki chini doc pengine unaeza nielezea tafadhali nakuomba
2026-08-12 10:16:31
1
mamiemommy
mamiemommy :
Nimefurahi sana kumuona huyo dogo anatembea mwenyewe leo..Kaka Mungu azidi kutunza karama hii aliyokupa kwa utukufu wa jina Lake. Hongera sana
2026-08-12 14:43:49
1
officialsalima4
official salma🤍✨️ :
mnapatikana wapi jamani mwanangu anachangamoto pia
2026-08-11 20:12:08
1
To see more videos from user @mtoch_clinic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About