hapo iyo bus ilipokuwa imekwama ilikuwa haina haja hta yakuvutwa na Lori hapo ilikuwa inatoka vzur yenyewe kabs eti fund tand boy hamna kitu umo ndan uyo tingo wako ngoja mm nikupe kakitu kakiufund ishi Nako ako kamchezoo izi Kaz za bus wakal wake tupo hpaa kwanza bus lock diff unaitoa wap kwanza labda polo angalau haya mamichina ni hola ssa bas siku nyingine chukua screw driver nenda kwenye mzan wa terias hapo juu shusha mzan mpka chin hapo bodi linashuka chin uzito wote inakuwa kwenye diff hapo Busta za terias znaupepo lazma isikid toa upepo teriaz tupia revas ww mwenyewe utajionea tuu hapo tingo mtoto wa shangaz na masichana umo ndan kuchafua viti tembea na fundi anaeijuwa chuma hapo faster ningekuwa mm nipo hapo ungependa chuma imekwama naingia chin natoka na chuma enyewe inatoka mngeniitya mchawii bus vityu vyangu vyote kabs hivo
2026-08-12 13:39:21
1
Juma Ramadhan :
Wa bus honi taa nyingi anachukua chumba usku wanazengua sana Madeleva wa bus
2026-08-12 09:54:14
0
dj sumelly :
michez tu
2026-08-12 08:57:45
1
Tarick Sadat :
ila mnyama hoho
2026-08-12 11:33:10
0
Senior :
mabasi wanasaidiwa sana na malori ila wao sasa
2026-08-12 17:52:41
0
samweli mwakyusa :
🙏🙏🙏
2026-08-12 16:45:20
0
ipyana_98 :
@Stanley George
2026-08-12 16:53:52
0
To see more videos from user @1bacho35, please go to the Tikwm
homepage.