@qute.naah: Replying to @sarah ibrahim Kwa mahitaji ya group la kujifunza namba ipo kwenye bio yng nicheck whatsap

Nanah decoration
Nanah decoration
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 20:33:10 GMT
788953
40163
647
880

Music

Download

Comments

lizzyvinvx
MADAM C.E.O :
hii special Kwa wa mama wa nyumbn cc wafanya biashara hairuusu jmn
2026-08-12 12:07:25
227
eva.awtu
eva :
kwani hata sisi wachaga tunatakiwa kufanya hivo?
2026-08-12 08:30:13
76
user8984849287216
zahra jooh :
akirud anakwambia toa mavitu yako nataka kulala 🤣🤣🤣🤣 hii kaz siiwez
2026-08-12 12:39:08
50
user6842854512193
Damkubwa 🥰🥰 :
kama mahaba yanataka urembo kama hivyo basi mimi na mume wangu tanatafuta mke 😂😂
2026-08-12 08:55:30
86
wee.tiktok.comfaiza
sweetie fay :
wakuenda ataenda tuh hata umfanyie nini...
2026-08-12 08:37:21
43
momo.trend
MOMO HOME DECOR🏡 :
Kwani hizo kanga zinasaidia nini mimi mchaga msinichambe 😩
2026-08-12 10:17:58
16
christinapiusmusoma
TINER STORE MUSOMA🛍️🦋 :
Nitokeee Dukan wateja wamenivurugaaaa nianzee kukunja ivo kanga ndg zangu ndoa hatuna 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-12 11:32:16
18
ashy.cute77
Anisha🌸🎀 :
Hadi atoke kazin me mwenyewe nishapavuruga
2026-08-12 14:56:16
24
veronikamartin48
Vee🦋🦋 :
mm huyu huyu nikiamka sitandiki kitanda nikirudi najirusha nalala nikiamka mwendo ni ule ule au 🤣🤣🤣🤣
2026-08-12 18:27:05
7
evelyne2366
EVY❤️🌸 :
Huo muda natoa wapi natoka kama sgr narudi kama kobisi
2026-08-12 16:49:13
5
mamujunior37
@...ms mary💕@ :
picha linaanza hzo kanga nazitoa wapi kam m mwenyewe naenda kuoga na pensi🤣🤣🤣🤣 kwakwer kama kuolew ndo hvo m ntaiskia2 ndoa
2026-08-12 09:16:07
7
shakiram660
shakiram :
atamm najua ma mamb yote yakitand ira hir sijui
2026-08-12 14:34:40
8
rihan49911
✨RihClou baby💕✨ :
mmmmh em mniache Sina mda wa kujichosha mimi🤣🤣
2026-08-12 09:04:38
14
v.e.e.d.a
Veeda💫 :
Sisi healthcare professionals hii tunafanya saa ngapi?
2026-08-14 13:59:03
4
mode74129
Mode❣️ :
mhhh kama ndoa ndo kufanya hivi Mimi bamtu atanisamhee kabisaa kwanza Sina kipaji hicho😂😂😂
2026-08-12 07:18:44
8
itsjeny15
it's jeny :
Unaifanyia hayo yote mtu na bado ana kucheat mim siwez kujisumbua hata kufanya umaridadi kwa mwanaume coz ni watu wasioridhika kbs
2026-08-12 09:49:03
9
mamkwe36
Ma Mkwe💕💕 :
Yule Mzigua wangu akija anatupia Miguu😂😂😂
2026-08-12 04:47:53
6
lightness.tety
@lights :
😂😂😂Yan nimetoka kwenye biashar kichwa kinawaka afu napata wap muda huu jaman 🤣🤣nachoka mie
2026-08-13 07:50:47
1
macha.bit
macha@ bit :
sis wachag hiii hatuiiweziii jmn nawakilishaaa🤣🤣🤣
2026-08-16 17:42:59
0
therealcasper24
#de Phoenix ☘️ :
😂😂house waifu mnajituma sana
2026-08-13 08:59:38
0
suleth.suu
Suleth suu :
aisee mi ndo Sipo Petrol inivuge nirudi nyumbani Nianze hiyo Kazi Hapana Mchukueni tu😂😂😂
2026-08-12 18:46:57
3
empresssalary
shannie :
muda wakufanya haya mwatoaga wapi jamn
2026-08-16 12:18:52
0
user3168763201695
lizzy :
naomba jina la wimbo huu maana kukunja hivyo siwez
2026-10-01 18:10:25
1
fa2maaa0
fa2maaa🥰🥰🥰 :
ambao hatuna huu muda tujuane
2026-08-12 15:52:17
3
To see more videos from user @qute.naah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About