@abumapunda:

Abumapunda🇹🇿
Abumapunda🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 20:55:26 GMT
35440
1397
600
61

Music

Download

Comments

emanoelaghasto
Emmy :
bhan acha hat usiseme hivy ten kwaan me hat no yakecsin uwiiiiiiiii
2026-08-12 08:29:03
0
khuzhno
JITU LA KAFARA TATU😅 :
sina hat namba yake😂😂😂
2026-08-11 21:04:29
1
mrsimu26
Mr simu :
Mmmmh group o daah
2026-08-12 10:17:14
0
vaileth026
Vaileth Kessy 🦋🦋 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nachoka
2026-08-12 05:04:35
0
malkia_wa_kinyamwezi
malkia wa kinyamwezi :
alooo 500 years ago
2026-08-12 09:42:48
0
ammy43543
🥰ammy🥰 :
Kwa kweli hata namba yake sna na sijawahi kuwaza hata kumpgia mim 🤣🤣🤣
2026-08-12 10:09:58
2
cleverngaugula0
Tiffah ❤️❤️ :
Hata nikikutana nao saizi siwajui
2026-08-11 22:01:59
21
fett07
👣 its sherry 👣👣👣👣👣👣👣👣 :
ndo nakumbuka leo kama ninashangazi😂
2026-08-12 05:47:51
15
kasabadaughter
Zuriih🇧🇮🌸🦋 :
Shangazi tena😂😂😂
2026-08-11 20:58:13
9
mussadaud569
last born :
Hata namba yaketu sinaga
2026-08-12 05:11:40
6
salamaramadhani73
@itsnans💐💯 :
mbona namba sina🤣
2026-08-12 09:10:36
2
princessensia
princessensia 💕 :
me ahangazi sijawai ata kuwa na namba yake ana ongea na dada zangu ana tuma Salam kwangu ila sishituki
2026-08-12 07:56:13
3
nasher2692
♥️fine girl🌹 :
Nina shangazi 6 lkn. Nina no ya mmoja tu. lakini nayo kama pambo asiponipigia yeye ndo basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii😂
2026-08-12 09:10:36
1
tulipvaii1
tulipvailet :
kwa shangaz ntakudanganya hata kaka yake tuu mwenyew naongea nae mara chache chache sana.
2026-08-12 09:42:47
1
princesshussein60
bh'ahananiye :
shangazi yupi na namba sina😳
2026-08-12 08:32:47
2
anastaziaj883gmail
ania🍏🍏 :
mi ata sijui mwisho mwaka gan
2026-08-11 21:04:03
1
ramadhanimashana
╭─ 𝐁𝐚𝐛𝐚 𝐀𝐛𝐝𝐮𝐥 ─╮ :
mie namba yake nilifutaga 2016😂
2026-08-12 07:05:50
1
reydaud4
reydaud :
Hatua nilofikia natamani nigeuzie mpk line ctaki mawasiliano namtu yeyote
2026-08-12 08:06:45
2
user62304235612475
Bravegirl :
mwez wa 4 nimemwamby nipo busy na UE
2026-08-11 21:02:15
1
vailethmelikiol
vaileth Melikiol 🇹🇿🥰 :
mara ya mwisho ni 2020 tena sijampigia alikuj kwetu kumsalimia kaka akee🤣😂😂
2026-08-12 06:42:28
2
marthabahati75
Martha Bahati75 :
Jana sometimes akiona nimekaa kimya ananipigya yeye
2026-08-12 07:10:20
1
To see more videos from user @abumapunda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About