@hskpharmacy: Watu wa hivi mnawasaidiagaje?#creatorsearchinsights #howtostartasuccessfulbusiness #pharmacistlifestyle #pharmacytiktok #pharmacytechnician
Naomba niteeengezee moja ya wateja wajuaji🤣🤣🤣 kuna baba mmoja kaja akaniuliza eti diclofenac inatibu nin nikamjibu akaniuliza na malafin je nikamjibu...alafu ananiambiaje nilikua napima elimu yako je umesomea ama umewekwa tu 😂😂😂nyie baba tupe uvumilivu
2026-08-28 06:02:02
0
jack shem :
ki ukweli inaboa mtu kanunua kwengine alaf maswali nije kuulizwa mie why kvp sasa
2026-08-22 09:18:38
0
From your contacts :
nakukubalii kinomaa nurse😃
2026-08-12 05:47:58
1
stellah mhembano :
tuna kaz wataalam wa dawa nyie khaa wateja hua changamoto myie
2026-08-12 10:26:22
1
Willium Lerubi :
hakika nakukubaliki sana
2026-08-12 08:58:29
0
teddy🥰rch :
nilikumis
2026-08-18 18:14:24
0
Vicent Nzingo (Baba Watoto) :
hivi pharmacy iko wapiii
2026-08-12 12:53:09
0
Imani ayoub ramadhani :
hapo wateja wakianza kukukimbia utasema wanaloga ofis yako kumbe kauli zako ndizo zinazosababisha wateja wapungue kwako ,usinge mjibu hivo mteja kaanza vizuri na samahani inakuuma buku ya kipimo.
2026-08-13 14:44:18
4
michaelm :
ness ni vitu vyangu kabisa ..nichek bas utanishukuru..karibu
2026-08-26 22:21:46
0
Elias Kashinje :
mpime tena
2026-08-12 15:53:09
0
LeGrand DRIVER :
Ila Mfamasia🤣🤣🤣
2026-08-12 03:15:34
0
queenkim :
kajibu vibaya mnaompa kichwa mwambieni tuu ukweli huenda alinunua mbali na apo anapoishi ss atarudije tena
2026-08-27 14:57:53
0
Minja :
muuzie kinginee🤣🤣
2026-08-24 13:40:02
0
@henrique_çhalamila :
🤣🤣
2026-08-13 16:40:18
0
programer :
😁😁😁😁😁
2026-08-14 20:21:40
0
しおり :
💗💗💗
2026-08-15 19:56:06
0
aplonia :
😂😂😂
2026-08-12 08:51:49
0
To see more videos from user @hskpharmacy, please go to the Tikwm
homepage.