@historical_zanzibar: Hapo (mbele) ni Mwenyekiti wa ASP - Mzee Abeid Karume, Vice Chairman (kulia) Mzee Mtoro Rehani Kingo na Katibu Mkuu (kushoto) Sheikh Thabit Kombo. #zanzibar #karume #mapinduzi #1964
Historical Zanzibar
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 03:54:26 GMT
Music
Download
Comments
Hamis.gibson :
Kuna miaka itafika na sisi watu watatuangalia ktk picha km hiv tutakua tumeshatangulia mbele ya haki🙏
2026-08-12 20:20:49
11
Mr. Badluck🦩 :
2026-08-12 07:13:02
14
Munira.Miraji :
mh kila nikimuona huyu shekhe karume natani angekuepo😞
2026-08-12 06:11:29
7
SAFFRON :
Watu wengu hawajuwi kama marehemu Abedi Amani Karume alikuwa ni Baharia kwenye meli za Waarabu kabla ya kuundwa kwa ASP
2026-08-12 10:55:50
3
Hhafidh :
Kumbukumbu nzuri sana.
2026-08-12 10:49:30
3
Roger kilindo :
wimbo unaitwaje?
2026-08-12 21:10:45
1
Ballozy Blackshark :
kweli
2026-08-22 16:10:34
0
MAYNA :
ndio
2026-08-22 18:51:39
0
❤️IDDY❤️ :
1970
2026-08-12 12:50:58
1
Mwana--Mpemba og :
Kumbukumbu nzuri sana.
2026-08-12 15:15:32
2
ASHANTI MAN :
I love zanzibar, naipenda ASP nawapnda wote wana ASP na Tanu mungu awarehemu wote wazee wetu❤️
2026-08-13 08:15:34
1
Asam :
kama sio kuuwawa engekuepo..
2026-08-17 22:16:51
1
Spark :
uyyo mwenu mawan apo
2026-08-12 13:19:45
0
UMMY NAIFAT :
Old is gold maskini Zanzibar yetu sasa hivi vichogo wengi sana
2026-08-22 14:05:01
0
Mr. NEP (H+H) :
sheikh thabit kombo alikua mwamba. kwa wale WA donge nadhani washaelezewa historia yake kiundani na Mzee bakar
2026-08-12 10:52:34
0
Mohamed Said :
wauzaji wa visiwa
2026-09-09 18:52:25
0
hajiameir78 :
hawa wazee ndio walijipinduwa na wao wakapinduliwa kiujanja na nyerere
2026-09-27 08:25:10
0
salumseifazan :
🥰🥰🥰
2026-08-12 09:42:28
1
officiel :
🥰🥰
2026-08-19 03:29:48
0
ebrahimosman6285 :
🇹🇿💯🫶✨️✨️✨️🙏
2026-08-12 17:31:02
0
vitallykamere :
🙏🙏🙏🙏....
2026-08-12 23:16:07
0
Saleh Ali Khamis :
😳😳😳
2026-08-18 20:30:33
0
KHAMIS MZENJI :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-10 07:53:13
0
To see more videos from user @historical_zanzibar, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.