LUCK OF KNOWLEDGE TO SOME PARENTS ... KIDS NEED TO OPEN THEIR MINDS FOR YOUR FUTURE
2026-08-12 07:27:13
3
Mtanganyika26 :
Kadri mtoto wa kiume unavyozidi kuwa mkubwa ndo jinsi unazd kumsamehe Baba📌
2026-08-12 07:51:32
34
JB. :
somo la hapa ni usioe bro utanishukuru
2026-08-12 09:02:08
3
Henry :
it's real
2026-08-12 07:15:14
1
نُسَيْبَة💫 :
ni kwel kaka kuna baadhi ya wazazi wako kweny ndoa na kuwa na familia lkn wanawafanya watot wao kuwaona baba zao waone Kane vibaya na kuwajaza chuki watot wao mpk watt wanakuwa na chuki na hawjali mzazi mmoja 😳
2026-08-12 05:47:19
11
Ondrno :
HII VIDEO NAOMBA KILÀ ATÀKÀEIONA AISAMBAZÈ KUNA FUNZO KUBWA APA.
2026-08-12 05:17:02
10
Maryam Ally3437 :
ikoje kwa mwanaume(baba) ambae haudumii na mama anawaaminisha watoto wake baba yao ndo anahudumia na mwisho wa sku mama akachoka na kuachana na huyu mwanaume
2026-08-12 08:29:05
3
being_ khadijah :
Hii kitu ni serious me nilikuwa nafanya kaz dukn nikiamin baba yang hatutuzi pia hatupi ela ya kula kwahy nilikuwa naambiwa hakun ela ya kula natowa kuna siku baba alikuja dukn kwang kunisalia mama alimpigia cm nakusema hakuna hatujali tang jan wakat me asubuh nimeemea kila kitu na baba kasem na hemea kila kitu niliumia san🥲🥲 nilipo muuliza mama kesi ilikuwa kubwa san
2026-08-12 07:26:19
4
Halima.S.H :
halafu kuna sisi ambao tulikuwa tunaomba pesa kwa Mzee mwenyewe na kupewa majibu ya "mama yenu si anafanya kazi pesa zk anafanyia nini" hapo Maza kanyimwa anasema kaombeni wenyewe nyie nyie 😭😭😭
2026-08-12 07:12:41
5
Arton :
wateteeni hao mama zenu kadri mnavyoweza but huu ulio ongelewa hapa ndio ukweli unao endelea kwenye familia nyingi "God bless all fathers"
2026-08-12 08:21:56
2
𝑲𝑩 𝑗𝑟²⁶ :
nilimtafata mimi binafs lakin nilipokutana nae niliamin mama alikua sahihi kwa namna alivonipokea na mazungumzo yake na baad ya hpo tunapishana tu njiani ad leo hii anaona ad aibu kuniangalia
2026-08-12 09:03:40
1
agayaachande :
Una vidole vizuri mashallah🥰🥰
2026-08-12 08:44:33
0
Vee🙈 :
Mm hata iwejee siwezi kumtetea baba mungu anisamehe siwezi 🥺
2026-08-12 08:04:49
0
Kiya_Elegant :
kwani inakuwaje watu wanakosa moyo wa shukran au kusema uongo afu unajisikia amani🥺🥺
2026-08-12 05:25:03
8
Zamoyoni Amosi Jr :
acha niendelee kumtunzia heshima mama yangu mshua endelea kupumzika kwa amani😭😭🙏🙏
2026-08-12 06:25:53
5
FÃDHÏËL⛎ :
mie kwakwel sijawah mchukia baba yangu japo kuna mda tunaambiwa maneno ya kuchukiza juu yake ila sijawah kuwa na chuki na yeye moyoni kabisa na nampenda sana yeye pamoja na mama yangu cause japo nilikuwa mtoto ila nilikuwa nipo karibi na baba toka mdogo hilo ndio limeniepusha kutokana na chuki juu ya baba zisizo za msingi mie kama mtoto wa kiume na nashkuru wazazi wangy wote bado wapo hai nitajituma ili wapate maisha mazuri wote bila kuangalia kapungufu yao cause im very proud of them all....
2026-08-12 07:57:05
1
Winfrider Hillary :
mmh Mungu nwe mom mzuri naogopa
2026-08-12 06:04:19
5
ney💝 :
wazazi 🙌🙌
2026-08-12 05:15:59
0
abdillahkhamis797 :
unajitahid dana kuwamsha wanaume wanaodhani babazao niwakosa sana kwake
2026-08-12 07:53:07
0
Aloys Alex MSBG :
daah so sad jmn🥺🥺
2026-08-12 07:49:41
0
Nutrition & lifestyle🥗 :
Mimi nilikuja kugundua hasira za mama kwa baba, analazimisha sisi tumpende zaidi yey kuliko baba (tumchukie), bahati nzuri baba anafanya majukumu yake vzuri na anatujali sana kwaiyo kadri tunavyozidi kukua tunazid kuona hana tatizo lolote, tunakua tumuitikia tu kumridhisha ila we love our father so much
2026-08-12 09:29:55
0
moiz :
daaaaaaa atr snaaaa
2026-08-12 07:33:36
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.