mbn easy tu sema nyie sijui mnamchafua tu mwenzenu
2026-08-12 06:52:34
3
Joe boy :
Daah me nilishindwa kumwingiza dereva kweny gari an had leo naishiaga hapo2
2026-08-12 21:16:47
1
SMART_HOME_DECOO🌀✨ :
😅😅😅hii ata me nimeona
2026-08-12 18:55:48
1
heis594 :
Naweza pata la hivi
2026-08-12 08:03:20
1
Jay lee :
Nashindwa kuelewa
2026-08-12 17:43:37
1
KARIAKOO PLAZA 🛍 :
ubaya haina mabawa🤣
2026-08-12 08:25:02
1
gospel_voice :
2026-08-12 21:54:57
1
LAU :
😂Sikua na mpango wakucheka Ila😂😂😂😂
2026-08-12 13:00:17
0
Cocomelon :
hili game linachekesha kisenge dereva mwenyewe unamsogeza karibu na mlango Bado hataki🤣🤣
2026-08-12 13:09:18
1
EM-GRAPHICS& DESIGNS :
ndo shida ya sisi watanzania mwenzio anapothubutu unaanza kumkatisha tamaa fanya chako basi tuone uo uwezo wako napo huwezi, tujifunze ku appreciate vtu vya wenzetu mtu akifanya kitu tumsapoti palipo na mapungufu tunamuelekeza kwamba bwana eeh apa fanya hivi mzee mtu anafanya mabadiliko lakin mwisho wa siku sisi ndo tunakuwa wa kwanza kumcheka kudharau na kumkatisha Tamaa. assume ungekuwa niwewe umetoa kitu chako broo vtu vingine vya kujiongeza mwisho wa sku sisi wanaume ndo watu tunaotakiwa kupeana support mnafel wakuuu
2026-08-12 20:55:22
1
TWAHA :
Itakaa sawa tu hata mumchafue kiaje tupo Kareem bega kwa bega
2026-08-12 12:28:13
2
Aj Aj :
kazi IPO kumusogeza dreva kwa mrangooo🤣🤣🤣
2026-08-12 13:00:07
1
Frank White :
we si unatengeneza vi mod tu.bora jamaa kajaribu
2026-08-12 19:04:10
1
ISAYA ndele :
acha kumchafua mwenzio bas nawe tupe lakwako ambalo alishuki
2026-08-12 12:31:44
1
UNCLE J🧠💪🚖 :
😂😂PICHA LINAANZA GAR IKATOKA BINGUNI KAMA YESU 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-12 13:17:17
2
tc...khan 🧸 :
maboresho tu ila litakua kali
2026-08-12 14:39:52
1
Jovin's Businessman :
SOON APO BIASHARA YA KUUZIWA MALEO BUSS NA MOD ZA KIBONGO INAKUFA KAREEM DESIGNER HANA BAYA MANA ATA IZO MOD MNAZITOA KWAKE😂😂🙏
2026-08-12 13:25:40
1
🌷𝐃𝐎𝐒𝐈 𝐆𝐀𝐌𝐄𝐑🌷 :
😂😂😂
2026-08-12 16:37:23
0
🎮jabir jr📌 :
🤣🤣🤣
2026-08-12 06:06:31
0
To see more videos from user @vanny_design, please go to the Tikwm
homepage.