@lewisedward27: VITA SI YAKO NDUGU, VITA NI YA MUNGU ❤️ Mungu Anakupigania Mkabidhi Mungu kila pambano, kwa kuwa Yeye ndiye anayetoa ushindi. Kutoka 14:14 ❤️ Mtumaini Mungu Usitegemee nguvu zako; mtegemee Mungu katika kila jambo. Mithali 3:5-6 ❤️ Usiogope Mungu yupo pamoja nawe kila hatua ya maisha. Yoshua 1:9 ❤️ Omba Kwa Imani Badala ya kuhangaika, mwombe Mungu kwa imani na shukrani. Wafilipi 4:6-7 ❤️ Ushindi Hutoka Kwa Mungu Nguvu za mwanadamu zina mipaka, lakini Mungu hashindwi. Mithali 21:31 ❤️ Mungu Anaweza Yote Hakuna jambo gumu lisilowezekana mbele za Mungu. Luka 18:27#VitaNiYaMungu #VitaSiYako #MunguAnakupigania #MtumainiMungu #Usiogope