Afu ukieleza shida zako kwenye interview huwezi pata kazi. Interview sehemu ya kuonesha uwezo wako sio shida zako.
2026-08-12 07:44:55
28
jacquelineechuwa :
Nimemuinterview mtu anambia nasubiri kazi …I was like why did you come
2026-08-17 06:04:20
1
henneey__perfumes :
😂😂😂😂Tajeere
2026-08-12 06:33:44
3
Sheila :
speaking skills
2026-08-12 08:42:02
1
Ng'aillet :
Mimi kunasehemu nimependa interview kila swali utasikia based on your health condition Yani kila swali jamani paka nikawa napata hasira kwaiyo mtu ukiwa na changamoto Fulani ya kiafya ndo usifanye kazi? Jamani waajiri wa sekta binafsi waache kunyanyapaa watu😢😢🥺
2026-08-12 09:28:29
7
Charles :
Ndo ukute ni kimemo boss na kashaambiwa utapitia interview kama formality 😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-12 20:31:09
3
Shabani Singano :
Inshort, be yourself
2026-08-12 18:08:01
1
ôffïçiål_çhusé🙌 :
😂achana nae
2026-08-12 06:02:06
2
Mac_moh 99 :
Nmejifunza kitu Meki siwez kusema mengi 🫂
2026-08-12 07:06:55
2
belle_11a :
Ila Bongo😁😁
2026-08-12 06:26:07
1
Miss_Vee :
imagine nime apply nafas nyingine wao wanataka nikafanye interview nafas nyingine hii imekaaje🤗
2026-08-12 19:59:58
0
To see more videos from user @mekicareercoach, please go to the Tikwm
homepage.