niwambien watoto wa mtaani wengi hawabadilikagi kuna familia moja walimusaidia kijana wakaishi nae vzr wakamweka dukan baad ya miaka2 waliibiwa vitu vya dukan vyote kufatilia yule kijana ndo alileta wezi aliwacholea ramani ya nyumbn wakaibiwa kila kitu🥺🥺
2026-08-12 08:01:34
15
Mayra :
Kenny kapatikana?
2026-08-12 06:11:45
9
RAXFODY ❤️🩹 :
Ujaelezea vizur sasa alimuokota au
2026-08-12 08:41:43
4
user12671682763067 Hosy shayo :
Mimi piah nilimsaidia bint mmoja kama wiki mbili zimeisha,akanielezea matatizo yake na huko alipotoka maan hiy siku namsaidia ni siku nilikuwa nahama kwahy kwenye process za kuhama nikawa namuona anatembea barabaran kwa miguu hakuwa na matumain yyte nikamsaidia juzi tu hapo kaniibia kaondoka 😢 afu ni pesa ya mtot ya ada imagine 😢
2026-08-12 20:11:45
6
its starsh :
kaka master yan binadamu sisi cjui hata tupoje yan inaumiza kwa kwel😔😔
2026-08-12 10:50:32
5
Finest gurl 🌟✨ :
jamani tusome🤣
2026-08-12 06:54:21
6
Nipher's Natural Cosmetic :
nilimuchukua mmoja wazzazi wote wamekufa nikampeleka veta mama ya umeme alianza kufahamu kabisa akaanza kibur mwisho kaniachia den la milion 2M sina hamu nao hao mm
2026-08-12 12:00:44
5
wema141 :
she is crying
2026-08-12 18:34:14
2
jackleni💞 :
Pole sana
2026-08-12 10:53:22
3
MISOSI HOUSE 🦋🎀 :
Bora hata huyo kaiba kaondoka,mm nilipata dada wa kazi katokea kijijini kwao hana baba wala mama niliishi naye miaka 6,alikuwa na ndoto za kusomea ufundi wa kushona nguo na kudesign nikampeleka shule miaka 3 na ada nikamlipia,na kila alichokihitaji nilimfanyia na mshahara wake nilikiwa nikimlipa. baadae alipomaliza nikamnunulia na cherehani ya kuanzia mpaka watu walijuaga ni ndugu yangu,,alooo alipojiweza niliona rangi zote yaani dharau alizonifanyia sijawahi kufanyiwa na mtu yeyote😅,,akanitangaza mtaa wote tunaoishi na kanisani kuwa namnyanyasa,mpaka watu ilibidi waanze kumchamba maana jinsi niliishi naye kila mtu aliona na hakuna mtu alitegemea atakuwa hana shukrani kiasi kile,mpaka leo tunapishana barabarani kama watu ambao hawajawahi kufahamiana
2026-08-17 08:45:06
1
teo :
kaka nisaidie
2026-08-12 21:41:18
0
fatumajafari816 :
wasomi haiii
2026-08-12 10:10:40
2
Miss imelida2 :
mimi siwaamini bana siamni mtu yoyote apo kuna msaada mingine inakera
2026-08-17 10:08:15
0
momo spare part :
wasaidien bhan
2026-08-12 19:40:48
1
jackleni💞 :
Hamuwezi jua jamani
2026-08-12 10:53:44
2
💞Qalby💕♥️❣️💞👌 :
kak mkubwa ss binadam haturidhikag jamn at Kam utup Dunia kam n tabia y Mt n tabia yak hawez kubadilik kamwe at Kam akibadilik n Kwa kuchelew
2026-08-15 05:32:50
0
shakirabags_tz3 :
Mimi nime msaidia lafiki kula kwake nijue mimi na kaniibia lake nane sina hamu na kusaidia binaadamu
2026-08-15 21:04:35
0
ladylachubai♥️🦋 :
Duuuuh yahitaj moyooo pole kwake dada mzuri kwa moyo mzuri mungu atamlipa
2026-08-23 11:54:30
0
halfan MK :
ila yule Dogo nakosa lakusema
2026-08-17 12:13:59
0
SOUL SISTER♌️❤️ :
Laki sita sio pesa
2026-08-18 13:06:26
0
khadija🦋🐆 :
ilishanikutaaa na mm tna tangaaa akanilizaaa pesaaa simuuu sina hamuuuu
2026-08-17 02:58:04
0
Mary Osward :
hatuelew
2026-08-13 06:57:33
0
To see more videos from user @cuttingmasterbarbershop, please go to the Tikwm
homepage.