@isackpate: Anahitaji pia ajisikie kuwa bado ana nafasi moyoni mwako. ❤️ Usiruhusu umbali, ukimya au majukumu ya kila siku kujenga ukuta kati yenu. Wakati mwingine mtu mwingine haingii kwa sababu alikuwa bora kuliko wewe anaingia kwa sababu nafasi uliyoiacha wazi haikulindwa. 🖤 Mpe muda, msikilize, mheshimu na mfanye ajisikie anathaminiwa. Mapenzi hayalindwi kwa maneno pekee, yanalindwa kwa uwepo na matendo. ❤️ Wewe unaamini uwepo wa mwenza una nafasi gani katika kulinda ndoa? 👇 #IsackPate #Ndoa #Mahusiano #Mapenzi #MarriageAdvice
🥰🥰🥰Nakupenda sana mume wangu 😂😂Kumbe sina mume bas
2026-08-12 17:33:06
1
Miss dee😘 :
mume wng yupo mbali kikazi maombi plz🙏😘😘😘
2026-08-12 17:24:27
1
shania laurence :
Nakupenda mume wangu kuliko neno lenyewe, kukaa mbali nawe labda kifo ndio kituweke mbali🥰🥰🥰
2026-08-12 15:25:20
4
mam-kalunde :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-12 13:04:45
1
second lady :
nakupenda sana mume wangu mm mbali na ww siwez kwendaa
2026-08-12 06:19:38
2
Neema Sumaye :
Inategemea jamani 🙌🏻🙌🏻
2026-08-12 17:10:45
1
♰🅼🅾🅾🅽💫✨ :
@♰🅼🅾🅾🅽💫✨:@im moon Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-08-12 14:52:07
1
Richard muhindo :
bien
2026-08-12 14:19:57
0
it's me again🎀 :
huyo wangu atajijua mwenyewe 😏😏
2026-08-12 16:28:07
1
attu_vogue :
Miaka kuanzia 4 kuendelea mtuache tulisha jaribu kila kitu 😂 mtu akinigusa mshambulieni kwa niaba na aulizwe ana miaka mingapi ya kwenye gereza la ndoa😅
2026-08-12 17:52:35
1
user7962602769827 :
🥰
2026-08-12 17:13:03
1
offciajfashioni6 :
🥰🥰🥰🥰
2026-08-12 13:25:09
1
offciajfashioni6 :
🥰🥰🥰
2026-08-12 13:25:02
1
Shemsah Issah :
🥰🥰🥰
2026-08-12 08:47:14
2
asifiwe bimo jowa :
🥰🥰🥰
2026-08-12 18:32:28
0
Veronica✨ 🇹🇿❤️ :
🥰🥰
2026-08-12 15:09:28
1
To see more videos from user @isackpate, please go to the Tikwm
homepage.