@jeyshaa28: Usikubali kulipiza kisasi Muda una njia yake ya kuweka kila jambo saw Mara nyingi ukimuachia mungu na kuzingatia maisha yako utashuhudia Haki ikitendeka bila wew kufanya chochote Karm inafundisha sio kila jambo linajitaji kulipiziwa kisasa wakati mwingine ushahidi Mkubwa ni kuendelea mbele kwa amani na kumuachia mungu Haki yako🤍