@godbless.0664:

GODBLESS06  
GODBLESS06 
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 06:37:22 GMT
196620
6973
363
459

Music

Download

Comments

khadijabaraka23
##Dij@@h😍😍 :
Alafu sio wachoyo ata wachakula
2026-08-13 11:38:11
177
dr.masinde_
official_masinde :
Daah hizi dharau jamani WASUKUMA tuchangamke
2026-08-14 10:52:13
74
user86198511821
VIRGO QUEEN :
FREE WASUKUMA
2026-08-14 12:18:10
30
ndegemzuri3
@gee🦚 :
Me alinambia nimtolee kile ki alama cha Bluetooth kwenye screen kinamaliza charge akanipa 20k
2026-08-14 12:17:36
33
miraji.kai
Miraji Kai :
sasa mbona mnawasanua huyu jiran yangu akija kushtuka ntalala njaa
2026-08-13 17:50:53
40
mitraluckas
Mitra Luckas :
acha bc wap uko na mm nije 🤣🤣🤣
2026-08-12 08:25:50
9
asmaa0842
ASMAA HONEY :
et nimepata mwanaume wa kisukuma hajui yogurt khaa vimezid😂
2026-08-13 22:45:37
6
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Nimemuzia infinix ile yenye macho matatu nikamwamby ni iphone yupo anashangilia😂😂😂
2026-08-14 10:52:20
9
paulmadah792
Paul Madaha :
mm ni msukuma..ila Hawa wako sawa tu maan nikwel.....siku Moja nilienda mwanza usagara...nikakutna na kijna Fran hv akasema yey ana simu mdogo wakti huo mm nilikua na Infinix...akasema anpe sm mdogo nimpe smart hyo ila aniongezee na lak2 na nus kwhy sio ajapo iwapo sm hyo bei yake ni lakn na nusu na inamda mrefu...mm naon hyu jamaa yupo sawa tu
2026-08-13 12:13:26
11
bint.canizio
Bint Canizio :
Na tukisafiri tukirudi na vifungashio lazma jirani apate Wasukuma sisi roho safi kbs
2026-08-15 04:56:18
13
user9348365520587
happy :
hata mie wasukuma nawapenda bana
2026-08-12 08:54:58
8
yusuphbukombe818
$YMB$ :
kila kabila lina washamba na washamba sio kabila zima ni washamba Sema wasukuma ndo kabila lenye idadi kubwa ya Watu Tz so kila sehemu tupo unapo sema washamba sio wote wengine tupo hapa tu wajanja sana tuu kuna makabila hata wanao ishi Mjini pia ni washamba sana tuu
2026-08-13 19:02:50
12
64seny
seny boytz :
mimi msukuma ila pesa yangu huwaga haitoki kizembe
2026-08-14 05:27:14
10
issahbwaure
Hemed bwaure @aj🫡 :
huku kwetu analipa kodi kwa dalali na mwenye nyumba, kwa mwezi
2026-08-15 15:09:13
6
zuberimvukiyendaraba
mvukiye official :
hata mm jana nilimsetia simu ikiita ilie mziki wa diamond happy kanipa buku mbili nkaweka bando yani mpaka sahv nasavaivu nalo tiktok
2026-08-13 06:48:58
14
jasminejohn837
jasminejohn837 :
wasukuma wanamoyo sana
2026-08-13 11:14:49
8
mattesokahabi
Matteso Kahabi :
mhm ulisahau ungemukumbusha na kuhusu kuwasha ges akakuongezea elfu 10 nyingine
2026-08-13 15:07:57
8
pazzyfamily
nyapazzy og :
niaach nachanganyikiwa mjukuu wangu🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-13 12:06:43
9
user5572400674990
Anna :
m kuna ambaye nilimsetia Auto_rotate nkaeka off alinambia akiinambisha cm kdg tyu vtu vinamwagka😅
2026-08-13 10:43:07
10
esthermwimi
Esther Njiku :
😂😂 sitaki kucheka! juzi alinikuta akanambia nimpe kalam na karatasi aandike namba alafu baadae acopy! nikachukua samsung yake nikacopy nikasav kwenye clipboard ili iwe rahis kujaza kwenye cm hake maana alikua anatoa hela😅😅😅akanipq ef10, alaf anauliza "ng'wanike umejuaje haya yote"
2026-08-17 08:29:44
3
user7706730468272
gospel girl :
mm msukuma anataka kunioa jamn nimkubali ama veep😁
2026-08-15 09:57:47
1
user1461789368688charle0
Luu 🦋💗 :
mim nilimuuzia cm Tecno bovu kwa laki tano nilimwambia kwa hiyo hela si bora uende kalikoo alisema kalikoo cm zimeisha nimezunguka sanaa nipe hiyo yako nikuachie hii hela tena kwa kunibembeleza nilichoka
2026-08-15 16:51:08
1
ferdee.fonce
ferdee fonce :
😁😁😁😁😁😁😁 Mamaeee dash
2026-08-13 10:59:02
1
niza.kaya7
NizaLife_TZ :
wasukuma sisi jamani tumeisha
2026-08-14 18:03:58
1
colethamaziku1
Coletha Maziku :
🤣🤣🤣🤣Kwahyo sisi wasukuma ni fursa hahaaa!haha
2026-08-16 07:26:28
3
To see more videos from user @godbless.0664, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About