@sarahprintingmaterial: JINSI YA KUTENGENEZA ROUND BADGE ☝🏽 Video hii itakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza round badge kwa urahisi kabisa. Kama unataka kuanza biashara ya badges au kuongeza huduma mpya kwenye printing yako, hii video ni kwa ajili yako! PRICE: 600,000/= *Badge machine *Round cutter *paper 1rim *pin 100pcs 📞0742169848 📍Kariakoo, Muhonda & Likoma #fyp #viral #explorepage #tanzania #congo