Mm kma mke Wa Kwanza nataka Raha nyingi pia hpo ajiandae n Mme mwenza sitaki upuzi
2026-08-12 14:31:37
23
Nzeyimana KHafusa :
Masha Allah Tabarakallah ♥️
2026-08-12 13:44:14
0
Bibi Cocu :
Mwanaume kuongeza Mke sio tatizo,tatizo linakuja pale mwanaume anapokuwa sio muadilifu na kushindwa kutimiza haki kwa kila mke.
2026-08-12 14:15:14
15
ummuyusra :
mimi kwakweli yalishinda nikaondoka 😃
2026-08-12 13:47:35
9
Zay💕ummu Qismayn 💕 :
mmmm na mbona huwa unatu hamba
2026-08-12 14:00:13
6
@BossLady :
Sasa mbona wangu alioa miaka minne sasa bila kunihusisha kaniambia juzi tuu
2026-08-12 14:15:21
4
nasmina rashidi :
allah akutie nguvu
2026-08-12 11:48:45
10
Jasmine Ally :
tusiyoyaweza tupite tu🚶♀️
2026-08-12 15:28:38
4
Amina Maulid :
najiandaa kuwa mke wa pili
2026-08-12 17:45:24
0
user4191534348616 :
Bora niwe wa pili kuliko wakwanza siwezi jamani, naomba msaada Kwa hilo
2026-08-12 16:04:41
2
user6074536877855 :
Shukuru wewe uliambiwa. Mimi nilisikia kama taarifa ya habari. Iliniumiza sababu nilikuwa nasaidia kifedha nyumbani. Mbona kama yuko na uwezo aendelee kupokea hela kutoka kwangu mpaka miaka 15? Mimi nahisi kudhulumiwa kifedha.
2026-08-12 14:56:50
3
Official nuru :
jmn nisaidieni lkn siwezi naisi nina tatizo
2026-08-12 14:05:32
2
Zainabu Martin :
kuongeza mwanaume akiamua huwezi kukataa kinachotakiwa mwanamke ukiolewa uwe na maisha yako usitegemee mwanaume
2026-08-12 13:59:21
2
DA HUU 💅💅💅 :
yalinishinda 🙌🙌🙌
2026-08-12 14:44:41
2
bakitakihongosi :
Wewe tenaaa😂😂😂
2026-08-12 16:23:44
1
12 :
mashallah dada unajuelewa Sana inafaa kuwa mke👌
2026-08-12 13:11:20
2
Sharifa Simba :
mama b,assalamu alaykum
2026-08-12 15:10:13
2
AZZA MOHAMED :
maashaallah mam b wanawake tungekuw kam mam b tungepunguza xina mitaan na watt pia wamitaan tubadilike wanawake tuw kam mam b wallah natupensan kwa kher natusipende kurogan tusom din kwa san
2026-08-12 13:34:55
1
Mwajuma Hamdu :
Asantee
2026-08-12 16:11:30
1
hadijahadija1450 :
mashAllah
2026-08-12 16:32:35
1
SD :
safi
2026-08-12 11:37:58
2
fety :
shukran
2026-08-12 12:53:14
2
pieceful life :
ahaa kumbe na nikaengeze mume wa pili ili nipate raha zaid kama anavyozitafuta yeye
2026-08-12 16:26:34
1
Zainabu Mwidini :
mm b kiboko
2026-08-12 14:06:44
1
To see more videos from user @officiallevo, please go to the Tikwm
homepage.