@erickmkami1: NIMEAMIN CONGO AINA FOMRAA DUH, 🙄🙄🇨🇩🇨🇩🥲🥲HATALI

ERICK  MKAMI🙏🇹🇿🇿🇦🇨🇩🇿🇲
ERICK MKAMI🙏🇹🇿🇿🇦🇨🇩🇿🇲
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 07:29:53 GMT
15631
885
59
31

Music

Download

Comments

babaqueen377
[email protected] :
baba G pole
2026-08-12 09:51:24
1
josure.nyangau
Josure Nyang'au :
ila fungurume imetunyoosha trip hiii
2026-08-12 12:15:51
5
prince.julius752
Prince👑🤴 Julius :
fungurume noma
2026-08-12 18:33:56
1
rj.mshana
mshana ♍️ :
Bado hamjasema 😂😂
2026-08-12 18:53:11
1
kenanmligo
Kenan :
ndio hapo Fungurume😀
2026-08-12 12:57:38
1
fadhili.mboyi..de6
+255🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
Mie hata sioni faida ya kufanya kazi za transit tena hasa hyo congo.sasa miezi m3 na zaidi mie wa local nishakuzunguka mara ngap hata km posho ndogo lkn hyo mizunguko na unga umga mwana c bora nipige tu local uganda mwanza fasta tu
2026-08-12 20:03:27
1
soweto929boy
BAFANAog :
bora ww mm sasa 🤣🤣🤣🤣
2026-08-12 16:00:15
1
roy.model
🦋Roy model💜♎ :
kama mm ndo dereva naenda Congo Sina haja ya kupanga chumba ntakaa kwa mama tyu😳
2026-08-12 12:24:27
2
shabanpongweshaba
Sheby love :
Mimi nitaendesha lori ila congo siji hata kwa dawa!
2026-08-12 20:09:18
0
mayalajumagemail.com0
mayalajuma572 :
Mmh
2026-08-12 08:30:55
1
freshboytz2
FRESH BOY TZ. :
Nashukuru Mungu hapo fungurume mining nimeshusha tu kupakia kolwez ila hapo ni pamoto mzee
2026-08-12 15:03:16
1
daf.tz
DAF TZ :
poleni vumilieni ndy kutafuta
2026-08-12 10:36:14
0
user4998419968562
Nigani Mussa :
sio poa family
2026-08-12 13:46:16
1
glaty82
glaty82 :
soma minataka ushofee kaka tulia tukuleleee shemej
2026-08-12 07:45:04
1
user053142218
mariamu :
Allah awafanyie wepesi.wapambanaji🙏🤲
2026-08-12 12:06:48
1
muody.kapera
Aslamu :
chunga papaaa
2026-08-12 11:14:54
1
user6006223075668
user6006223075668 :
mungu aniepushe nakazi hizo hiyo sio kazi🥺
2026-08-12 15:21:57
0
ramamayundo
rama :
kupakia nini sass
2026-08-12 08:39:31
1
young.drive45
💓YOUNG DRIVER💓 :
noma kak😅😅😅
2026-08-12 21:17:23
2
erastobatao9
[email protected] :
hatal sana kak
2026-08-12 21:24:16
0
dogo.peter6
mtu Kaz 💪 :
mnabd mtafute mitaj izo Kaz zmeshakuwa zakiswahil tyu pesa hakuna kitu stress kichwani kibao lakn nn fresh ndiyo maisha yautaftaj
2026-08-12 15:26:45
1
mniga.th
mniga the don :
xax posho vp xax kam unakaa2 siku zote izo huko
2026-08-12 13:21:10
1
morganmoro222
Morgan Moro :
M ntakua naacha apo chuma narudi mjin nabeba nyingne nayo naiacha
2026-08-12 20:07:31
1
maryndeto908
Maryndeto98! :
Congo muwe mnawabeba wake zenu waje waone hali halisi🙌
2026-08-12 13:21:57
1
user2447725243082
ramso@ mp :
wap hiy likas au kolowez
2026-08-12 12:38:26
1
To see more videos from user @erickmkami1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About