@dskileo: Watu wangu wa Mwaka Wa Vita Mwaga moto kwenye comment 🔥🔥🔥🐉 HUU MWAKA MBWAI MBWAI, Tunasukuma Hadi UPEPO, By any means necessary lazima MAISHA YABADILIKE, Narudia tena wanangu nawasanua for free, DSM sio chimbo, Jaribuni mikoani, Believe that🫵🏻🫵🏻🔥 Billion 1 ni swala la Muda tu, Mark my words 🫵🏻 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 NB: Mungu anabariki juhudi, maombi bila kazi ni ushirikina 🫵🏻 WAKUU HUU MWAKA TUNATOBOA 🫵🏻🔥🔥🔥🔥🔥 NO EXCUSES, CONSISTENCE 100%
brandingdanny
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 07:32:37 GMT
Music
Download
Comments
Mahmud :
god bless our way 🙏 🙌 bro
2026-08-12 07:38:09
1
Jenipha Lukumay :
kaka samaan were hua unatumia njiagani kusoma Bibilia mbona mm nashindwa najaribu leokesho naacha sory
2026-08-12 08:02:07
4
cherry03_leo :
God be with us 🙏🙌🔥🔥🔥🔥
2026-08-12 07:54:20
1
BUSHRA Fashion 🔥 💯 :
Bonjour Boss,vous comprenez aussi la langue française ?.
2026-08-12 14:05:45
1
The Black spider 🕷 :
respect 🙏 my God bless you bruh
2026-08-18 17:57:29
1
Baraka Suleimani. :
Big up brother 🔥🔥🔥✊🏻
2026-08-12 07:38:54
1
miss msumule :
naomba nipate mawasilano Yako
2026-08-13 14:11:40
1
@_it's_me_Jessy❤️🌸 :
May God bless your way danny🙏😍
2026-08-12 08:00:28
1
Tee bby❤️ :
2026-08-12 08:41:29
1
crisymonk :
kutoboa lazima broo
2026-08-12 13:48:31
1
beritha :
Ngoja ni kufollow wewe ni mtu muhimu
2026-08-12 10:07:52
1
Madam D :
Nice
2026-08-13 09:59:11
1
agnenxyohana :
mambo vp kaka
2026-08-12 07:38:56
1
Maureen Kumenya :
mtot wa Jesus nipandishe na mm jaamn🤣🤣🤣
2026-08-14 17:13:32
1
Blessed baby😇🥰 :
Nimepata kitu hard working efforts na mungu bila kumuacha
2026-08-22 20:10:30
0
mema cute :
je nikitaka kuongea na ww nafanyaje naitaji unishauri
2026-08-12 09:21:01
1
Marry beauty point :
nipo mwanza jmn 🥰
2026-08-13 20:23:40
1
Caramel 🍫 :
2026-08-19 17:06:43
1
wizzy 07 :
appreciate Sana bro unavyoish ✊
2026-08-23 14:23:27
0
manto :
tutafika mbele kwa msaada wake mola
2026-08-21 06:31:24
0
getrudendenji :
mungu yupo upande wako bro
2026-08-28 08:01:26
0
JAY_SIZZO :
Nakukubari mkuu
2026-08-29 05:25:18
0
Fen Masabo :
mwaka wa Kutoboa
2026-08-30 09:01:23
0
Real Nipher🌹 :
Karibu mwanza🥰
2026-08-12 12:32:18
1
To see more videos from user @dskileo, please go to the Tikwm
homepage.