@islamicswahilinet: MWENYE KUFANYA HAYA AMELAANIWA NA ALLAH SW Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​ Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia: 📱 M-PESA: 0769 756 490 📱 YAS | MIX: 0715 868 990 📱 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 07:40:13 GMT
2622
363
4
5

Music

Download

Comments

hafsa.hafsa4940
Hafsa Hafsa :
Allah atujali ni wenye kiridhika na kil kitu tulichopew na mwenyz mung
2026-08-12 08:03:38
1
user280478115081
subira yamungu :
wallah sheikh ni kwelii lkn haya mawaidha yanatufikia tusioyafanya kwa namba Moja au nyingne unadhan ata wakiona video kama hiii wanatazamaaaa
2026-08-12 12:37:25
0
ummie53474
ummy🥀 :
Allah atusameh, atuongoze 🤲
2026-08-12 07:47:52
0
paul4586008453728
INFIRMIER PAUL :
𝐒𝐮𝐛𝐡𝐚𝐧 𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡 😭😭😭
2026-08-12 10:37:01
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About