@cawabemedia_: Tulipata nafasi ya kutembealea Shule ya @dekayra_schools na hapa ni baadhi ya mabo waliotuonyesha wanafunzi wa shule hiyo wakionyesha uwezo wao kuhusu utaalamu na uhandisi wa Kompyuta.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 07:56:28 GMT
97726
3471
155
568

Music

Download

Comments

mishelly.2026
Belle :
mm A for apple😁
2026-08-12 14:35:54
3
keflen95
keflen :
mpo wap
2026-08-12 12:32:01
0
kibiriti9
kibiriti sailor :
We are appreciative that 🤝
2026-08-12 15:40:06
0
light_styles
Lightness✨🖤 :
Aaaaw namesake wangu ni computer technician aaaih lightness😍😍
2026-08-12 14:33:13
0
babayuu28
babayuu28 :
watoto wetu wanaambiwa uku Z for zebra😭😭😭😭😭
2026-08-12 10:45:51
70
user4582666863344
Glory :
Confidence 100%💞💞💞💞💞
2026-08-12 14:57:36
0
djbeka_255
Dj Beka_255 :
Confidence 10/10…🙌
2026-08-12 14:52:55
0
saylicioussay3
Essie :
ipo bagamoyo sehem gan hii mm nije nianze kusoma upya??
2026-08-12 13:43:03
10
anithamtakoo
user anitha mtakii :
ada ni shingapi??
2026-08-12 10:27:11
4
user5945249010478
Miss tina💥 :
habari jmn naomba number ya hyo shule na iko wap please
2026-08-12 13:22:21
4
sania_cosmetic
sania cosmetic :
wakitoa ada sh ngp mniambie maana nishaanza kuweka pesa bank
2026-08-12 15:02:43
3
annarichard29
Olpaah✌️ :
Mnapokea wanafunz wa miaka 20
2026-08-12 13:50:28
1
harleyquiin77
Empress👑Aira🌬 :
mpaka nawaonea donge kila nkikumbuka mm nlikuwa nachapwa ili kukariri kuwa jongoo anaitwa millipede na tandu ni centipede🤦🏻‍♀️
2026-08-12 13:14:50
8
samayra.baby1
samayra baby :
shida kwanin msiwafundishe kwa lugha ya kiswahili
2026-08-12 14:27:33
0
hamidumkwizu
hamidu mkwizu :
Hii ni minja hii shule iko Ugweno masumbeni
2026-08-12 17:06:45
0
happiness.lyatuu
Happiness Official :
hii shule inapokea watoto kwanzia umri gan jmn
2026-08-12 14:12:34
0
user631137212257
Nyamongo Da G collection :
mlisema iko wp
2026-08-12 14:30:16
0
mtondo_graphics
MWENYEKITI WA WAHA :
hii shule iko wapi nitauza hata figo nipeleke mwanagu hii ndio elemu
2026-08-12 14:07:36
0
mshashi35.com0
Miyamoto Mshashi. :
shule Gani hii na iko wapi?
2026-08-12 12:59:48
0
masely2018
Masely :
wanafanya mtihani kutoka taasisi gani kuelekea elimu ya juu?
2026-08-12 12:41:04
0
outfitquality40
Maulaoutfit # iringa kihesa♤♤ :
iyo shule iko wap
2026-08-12 13:21:50
0
0745654kerwin
EcstasyE😚 :
nice na wanatakiwa kufanya hivyo untill the end time wazazi wasi wa confuse kwa kusema wasome mambo mengi wawaache na hicho tuu👌it
2026-08-12 15:28:22
2
ibraah7693
precious ibraah :
Ada shingapi kwenye hy shule
2026-08-12 09:20:09
2
godwinemwakalinga
Mwak :
please fungueni na shule nyingine Arusha
2026-08-12 10:13:39
4
user53312437745768
Refrigeration personel 255 :
Fungus awabariki Sana kazi nzuri .
2026-08-12 17:08:27
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About