@prince.starbon: 🐥 HATUA ZA ULEAJI WA VIFARANGA WA KIENYEJI 🐔🌱 1️⃣ Wiki 1–2: Joto, usafi, maji safi na chakula cha vifaranga ni muhimu sana. 2️⃣ Wiki 3–4: Anza kuzoesha mazingira ya nje taratibu, huku ukiendelea kuwapa lishe bora. 3️⃣ Wiki 5–8: Wape nafasi zaidi ya kutembea na kutafuta chakula, lakini walindwe dhidi ya baridi, mvua na wanyama. 4️⃣ Wiki 9–12: Wanaanza kuwa imara zaidi; zingatia chakula, maji, usafi na ratiba ya chanjo. 5️⃣ Baada ya wiki 12: Wanaingia hatua ya ukuaji na kujiandaa kuwa kuku wakubwa wa kuzalisha mayai na nyama #Ufugajiwakuku #fypシ゚viral #tiktoktz🇹🇿 #creatorsearchinsights #mafinga🇹🇿

mafinga farm 🐔
mafinga farm 🐔
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 07:56:32 GMT
44738
1985
29
143

Music

Download

Comments

christina_mwambalaswa
Blessed Girl 🏹 :
mimi wameanza wiki ya pili wanakula starter maji walianza na glucose wapo 10 wamechangamka wanashinda kwenye beseni kubwa jioni nawalaza kwenye box wakat natengeneza box kubwa
2026-08-12 08:17:19
5
neystore5
Fashion Park Mafinga :
Aisee niliangalia kwako,, nimewalea saa hizi wamekua watu wazima 😂😂😂💯💯🔥safi👏🏻👏🏻
2026-08-12 13:41:01
3
mamatumpale
🌹NICE🌹 :
izo bata huuzii
2026-09-25 10:23:39
2
jackob767
jackob1 :
congratulation to you ticha
2026-08-12 15:42:02
1
josephinajoseph36
josephina09 :
ahsante
2026-08-12 11:27:18
1
maty6380
Matroxi de Oswalde :
Ahsante kaka unatufundisha sana
2026-08-12 08:07:31
1
happynfwxld
Happy mizambwa :
kama vifaranga vinakinyesi Cha kuganda nyuma tiba yake ni Nini
2026-09-10 16:07:10
1
emmanuelbenard7392
E*E*B⚜️⚜️ :
god bless you bro💯💯
2026-09-14 17:48:16
0
heart6293
heart :
me wamekufaaa nikitoka kwenda kazini nikirudi amekufa mmoja walikuwa 14 saivi wamebaki 7
2026-08-12 15:25:32
1
ubabu777
Prince A’lly :
Kaka naomba nisaidie kujua mpangilio mzuri wa chakula kutoka kwenye kifaranga cha siku moja hadi miezi mitatu na kuendelea. Shukran
2026-08-13 04:55:14
1
sidebuggati
Kienyeji Empire :
mimi siweke mkaa wala moto lakin nalea n wanakuwa vizur
2026-09-08 18:13:10
0
hadija.mapesaa
hadija mapesaa :
jina la dawa plz
2026-08-13 18:32:23
0
mape864
mape Kidume Cha Mafinga :
uko vzur mwalimu
2026-08-12 17:26:14
1
paschal3149
paschal👪 :
unapatkana mafinga sehem gan nije kujifunza kaka
2026-08-17 09:32:43
0
christina_mwambalaswa
Blessed Girl 🏹 :
hapo kwenye chanjo hapo ndio patamu
2026-08-12 08:15:53
1
emaculate064
emaculate | Frontend Dev :
🐔 Nimeandaa pia mwongozo wa UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI NA WA KISASA unaoelezea kwa undani kuhusu uanzishaji wa ufugaji, lishe, afya, gharama, faida na soko. 📖 Ukitaka kuujua zaidi, niambie nikutumie maelezo. 🐔📚
2026-08-18 05:59:35
1
ernestmuhoja
Ernest Muhoja :
❤️
2026-08-12 09:23:46
1
kijana.wenu57
kijana wenu :
💯💯🫵
2026-08-12 08:11:00
1
To see more videos from user @prince.starbon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About