shehe shikamoo, samahan Ile dawa ya kupunguza tumbo nikishakausha naviponda nipate UNGA,au nasagaje?
2026-08-12 12:28:12
0
Pamella :
kaka naomba unisayidiye mimi nimetupiwa vitu kwenye room nalaliya Mme wangu akija anasikiya ninahalufu ya mavi nisayidiye kaka yangu
2026-08-12 13:03:13
0
sapnarazack :
Asante kaka angu mungu akufanyie wepesi
2026-08-12 12:06:15
0
Khatib Khatrith :
Kaka mm naomba zindiko la nyumb
2026-08-12 09:29:34
0
Anni :
Dr njiku mimi nasumbuliwa Na ndoto nafanya mapenzi usingizini Na Niko Shule zinanisumbua Na ni muhanga wa kutafuta mtoto nisaidie
2026-08-12 09:28:21
0
Sophie Mkaka :
Asante shehe ,hicho kisu tunakutupa au unaweza kukutumia
2026-08-12 08:54:10
0
MAHEKA :
Mm naanza leo
2026-08-12 09:59:25
0
Mwana :
kaka naomba unisaidie dawa ya kufunguw kizaz plz 🙏🙏🙏
2026-08-12 12:09:18
0
🇧🇮🌹🇴🇲 :
Habari yako Dr Njiku mimi natokea 🇧🇮 lkn niko inchi za kiarabu kutafuta maisha lln mara nyingi napenda kuota niko shule wala niko vijijini kwitu shule niliacha mwaka wa 97 lnk mara nyingi Sana napenda kuota nimerudi huko sijui ni kwa nini naomba unisaidie
2026-08-12 08:50:53
0
Ayuxhababe2 :
asannte sana
2026-08-12 13:48:35
0
topiye :
Shukran shekh hata mimi ninahiyo shida nitafanya hivyo Insha Allah