hapendelei bali watu wanafatilia kwanini irani haogopi vita na usa na amepiga nchi jirani zaidi ya 20 na hataki mazungumzo kwaiyo wanafatilia nini kinampa jeuri irani
2026-08-12 09:35:38
17
raymaghen :
inasaidia nini wakati kila siku anapigwa
2026-08-12 13:48:08
2
coastal :
mbona hawatumii..hio n uongo
2026-08-12 11:43:49
3
BawsColonel :
Iran iko na nuklia ata USA wanajua hiyo
2026-08-12 16:50:45
4
AuttaSpace :
kunayo silaha kali kuliko nuclear bomb kaka.... yaitwa Hydrogen Bomb
2026-08-12 19:44:55
2
yohanankwabi7 :
Upelelezi huo umefanywa na nani?
2026-08-12 14:42:56
2
trope ngimwa :
Iran haina kitu
2026-08-12 17:56:43
0
Paslain Akili kubwa :
Diogo Gasia hakupiga alijaribu tu
2026-08-12 13:07:10
0
Mchuja Nafaka Champama :
Marekani kashashindwa ila anaona aibu tu apo
2026-08-12 14:55:54
3
Hassan BZ :
Brother Sio Kiburi wana silaha kama Marekani... Na imelinda inchi yao vilivyo pasavyo kulindwa
Sasa mbona hawaitumii... wakati viongozi wao wamemalizwa!?
2026-08-13 06:57:57
0
Taty🥰🥰 :
kama mimi nili wambia wakagoma
2026-08-12 10:33:17
3
user70295811402152 :
unaongea kama brother K
2026-08-12 09:51:50
2
Ylza :
rod 3
2026-08-12 11:17:52
3
Dambi Galgalo :
nikuulize Iran wamefanya makosa Gani? wameenda kushambulia mtu yeyote? si wameshambulia mtu yeyote? kiburi Gani wameonyesha!
2026-08-12 12:40:28
1
Humaiya :
siwatume wabangoja nini
2026-08-13 03:43:30
1
Engineer Juma :
Istoria ya rais uyu wa marekani uyu trumpo alipoa ingia mwaka 2016 kwenye uchaguzi wake akiwa anashindana na mwana mama 1 trumpo Alishanda Kwa point 3 wakati uwo watafiti wa marekani Wali Sema uchaguzi wa wamarekani ulidukuliwa na nchi ya Urusi na kupanga Matokeo ya point 3 taarifa inatoka teali trumpo Kasha apishwa ndani ya utawala wake mwanzo wake ni vita na adi wamarekani Walifutiwa Bima ya afya walivulugana wamarekani 😂😅🤣adi wakaivamia Ikulu yao😂🤣😂 na Malekani iliyumba Sana nch nyingi ziliji toa ndan ya marekani 😂🤣Leo tupo mwaka 2026 rais wao wa marekani ni yule yule trumpo na utawala wake ni uleule vita akuna kuelewana na nchi nyingi duniani Zimeama kutoka marekani na ususa adi ndani ya Nato akuna maelewano na nchi nyingi zinajitoa kwenye umoja uwo😂🤣😅 😂😅 Alie shiliki kuiangusha Soviet ngoma imemgeukia 😂🤣😅😅🤣 wamarekani Wana amini uki taka uwe raisi lazima uwe mfanya biashara uwena pessa nyingi Kwa hii imewalamba😂🤣😅😂😂 Taangia mwanzo Imani yangu Inapeleka Kua trumpo sio Laia wa marekano atakuw raia wa Urus😂🤣😂😅 kajauivuluga marekani na Kuishusha kiuchumi marekano😂🤣😂😅 alie iyangusha soviet alikimbilia marekano 🤣😂😅😂hii imewalamba nchi ya Urusi ni atali Sana duniani Kwa ujasus😂😂😂😂😅😅
2026-08-13 04:25:49
1
Taty🥰🥰 :
kama mimi nili wambia wakagoma
2026-08-12 10:33:17
1
To see more videos from user @bakarially30, please go to the Tikwm
homepage.