@isackpate: Wakati mwingine kumpoteza mtu si mwisho wa maisha yako… ni mwanzo wa kujirudisha kwako. 🖤 Usishikilie watu wanaokufanya ujipoteze, kwa hofu ya kuwa peke yako. Kuna watu lazima waondoke ili ujue thamani yako, upate amani yako, na uwe wewe tena. #AmaniNaUpendo #Grateful #RomanticQuotes #CoupleGoals #DeepLove