@mamatanzania1: Ila kuachwa🤣🤣🤣🤣😂😂😂💔#mamatanzania#funnyvideo #fyp #comedia #viral

mamatanzania1
mamatanzania1
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 09:14:44 GMT
169480
15707
707
1323

Music

Download

Comments

pritty196
@Itz_me🧚‍♀️🇹🇿 :
😂😂😂Sasa bibi angu kaingiaje
2026-08-12 09:37:41
290
user4837741412555
Rethy :
wanaangalia sa 3 usiku na wifi za bure tujuane
2026-08-12 18:09:50
122
user139694238216
juju :
i love unakosha 🥰🥰🥰🥰
2026-08-12 10:04:39
1
wakipekee.33
#Wakipekee 33 :
me niliachwaa nikiwaa nachungaa mbuzii, sijawahii chapaa mbuzii kiasi kilee mpk mbuzi zilikuwaa zinakimbia zikifikaa sehemu zinasimama zinaanza kuniangalia huku zikijiuliza huyu jamaa leo vipiii..
2026-08-12 14:49:43
85
marry.antony12
Marry Antony :
ayo yaache Kama yalivyo siyo lazima kununua wew🤣🤣🤣🤣
2026-08-12 10:19:44
133
yusuphakily4
mr yuuh🕵️👼 :
😂😂😂😂😂😂Ila shem
2026-08-12 12:54:17
4
momyevanna
momevanna😻💙 :
Nmecheka nikiwa na mscrub mteja, akasema namcheka yeye😅😅😅😅😅
2026-08-12 10:49:22
98
kimbe88588
Christina Kimbe :
yesu ebu fanya urud wanao wanateseka na mapenzi😂😂😂
2026-08-12 15:43:57
39
mummyruh47
@mummyruh...47 :
nimecheka sana leo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-12 09:34:57
47
felly.ster1
Felly Ster :
Nililia usiku kucha nikadanganya naumwa tumbo watu wakahangaika na dawa mbalimbali daaaaaa
2026-08-12 19:14:41
23
luluamana3
luluamana3 :
😭😭😭 nmekwambia atuuzii atuuzii
2026-08-12 22:02:52
0
painc48
painc💕🦋 :
uko sawa lakn dada😂😂😂
2026-08-12 10:49:02
27
vee119535
vEe😘🦋 :
uachwe alaf uwe unaishi na wazazi ,..nyie nyie Skien tu roho Inauma unatamn uwe mwenyw nyumbn ulie muda wote...nilkua nalia choon wakat wa kuoga ..🤣🤣🤣🤣
2026-08-12 17:59:01
15
dtha429
D💕 :
ilaa mama philipo unajua nakupenda sana
2026-08-12 09:19:07
38
aniah_020
Cwity Niah🍇 :
niliachwa jioni af ndo natakiwa nipike oyaa nilishindwa kabsa kupik nikasingizia naumwa
2026-08-12 12:58:17
8
mwajchilloh961
Mwaj Chilloh :
na mimi nimetoka kuachwa sasa ivi 😅ushanipa mbinu
2026-08-12 11:47:30
8
user91668341353278
ester olivo :
Ila mama tanzania we kiboko 😂😂😂🙌
2026-08-12 09:53:42
6
mimmer.dimpy
Mimmer Dimpy :
jmniiii Kwan yy ndo kakuacha 😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-12 10:06:30
5
user3443700381020
mrs elasto :
jamani nimejiona kabisa mm wa kwanza nakuja ku coment nakuta tayar nachokaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-12 09:20:28
16
keihmwanah
keih Mwanah@1 :
24(24
2026-08-12 17:48:56
0
usinizowee0
Mss Ali :
20/20
2026-08-12 15:47:09
0
jesca.malidadi
Jsm :
20/20
2026-08-12 15:05:41
2
theresaz_
theresa :
mbona kama unanisema mimi🤣🤣
2026-08-12 16:17:09
1
aslly41
bby assly😚 :
wagen washakosa chai😂😂😂😂
2026-08-12 15:11:31
2
To see more videos from user @mamatanzania1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About