hapo hujatabiri ndugu hapo umesema yoyote anashinda utabiri unakuwa wa timu moja tu
2026-08-12 11:21:09
9
Nsopoke :
hakun asilimia 54 na 48 sasa hapo ni asilimia 102😁🤣🤣
2026-08-12 12:57:52
3
Zuberi Karahani :
Simba anashinda goli2
2026-08-12 11:07:08
3
user31455934539733 :
sasa hapo ndio umesema nini
2026-08-12 11:59:56
7
ranzy Shilly :
bado San kijana kipimo changu me simba anashinda Zaid ya goal mbili Moja mpanz lingne Siri yangu na mapema tu yanga anafungwa kipind Cha kwanza pia
hvy yanga atafungwa na simba Leo na haiwezkan yanga akamfunga simba copy it
2026-08-12 10:48:50
5
Aisha Shaaban :
Baaaas kuna nini tena?? yanga bingwa 💚💚💚💚💚💛💛💛💛
2026-08-12 11:35:22
2
Naseeb :
sijawai kuona utabir wa aina hii
2026-08-12 11:45:48
3
MOHAMED :
HUJATABIRI BADO.....HUJATOA NANI ATASHINDA
2026-08-12 10:30:57
2
Mass🌸🕊🐦🔥 :
yanga bingwaa🤣🤣🤣
2026-08-12 13:00:12
1
sham_hassan345 :
ongea point moja
2026-08-12 11:44:17
1
Alfa Jamar :
mbon hauongei jibu moja
2026-08-12 11:46:03
1
user4672163617120 :
utabiri ni mmoja tu hakuna labda
2026-08-12 12:02:04
2
Faa :
TUTAONA MUDA UKIFIKA.
2026-08-12 15:09:54
0
mwanaharusi mtenda :
we nani?
2026-08-12 10:22:44
1
King Mlanzi1 :
Yanga atashinda goli nne goli la kwanza ni counter attack kipindi cha kwanza goli tatu cha pili goli moja. Mark my words
2026-08-12 11:50:48
0
angel❣️❣️ :
na ikawe kheri kwa simba
2026-08-12 14:03:07
0
user5016356235732 :
hakuna mpira usio kuwa na makosa na huo sio utabili Bali una hisi kwanini usitoke fronti kwamba nani ana shinda kuliko mara makosa mara droo mara yanga mara Simba huo sio utabili
2026-08-12 14:20:24
0
Ulipo 2po. :
Asilimia Zimeshapanda mpka sasa ni 64 Kwa Simba
2026-08-12 14:17:03
0
𝕵𝖆𝖗𝖉𝖎𝖓_𝖉𝖚𝖑𝖑𝖆𝖍 :
goli 2 tu zipo
2026-08-12 15:16:27
0
IMR :
Yanga bingwa🔥🔥🔥
2026-08-12 14:07:54
0
Sikuzani Matembo :
apo umeongea nn sasa
2026-08-12 14:29:10
0
To see more videos from user @ust.sabihisma, please go to the Tikwm
homepage.