@shafii_brand1: mliwezaje

shafii_brand1
shafii_brand1
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 09:21:06 GMT
30345
3019
105
130

Music

Download

Comments

justinemnaku
justinemnaku :
wakishua hapo hakuelewi shafii😅😅
2026-08-12 09:24:02
38
resswaxman
Res swax man📸🫡 :
daaaaah jamn nmelia san🙏
2026-08-12 14:54:16
0
itsnanacodestz
nanacodestz :
Yan mimi hata kujihudumiwa siwezi,,,jamani ama kweli kua uyaone💔💔💔
2026-08-12 09:27:10
76
bedajuniour77
Beda juniour :
respect to my parents 😂😂😂
2026-08-12 09:26:59
30
dorry.emmanuel
Dorry Emmanuel :
we shafiii🤣🤣🤣
2026-08-12 09:29:03
3
zamy3542
zamy :
mishen town
2026-08-12 10:12:53
2
allymbosso45
allymbosso45 :
kwakwer lala 😂😅😂
2026-08-12 13:19:54
0
queen_mary09
queen mary :
subiri upate wako utaelewa Namna ya kuchanganyikiwa 😁
2026-08-12 09:55:20
12
bland_ndina
[email protected] :
😂😂😂Nawapenda wazazi wangu
2026-08-12 09:24:41
17
despacio32
despacio :
wazazi wana mbingu yao jamani 🥰🥰🥰
2026-08-12 10:40:09
5
mamawadudu
Mamawadudu :
kweli kabisa. kwa uchumi huu, kama una akili timamu unaogopa mimba hata kama unandoa.
2026-08-12 15:00:37
4
user5781156275704
viva boy Jr1997 :
walitulea lakini walipitia mateso makubwa sana
2026-08-12 15:31:17
3
fatumarashid938
fetty :
kwakweli wabarikiwe sana wazazi wetu
2026-08-12 11:21:11
3
lahum235
myrah phone :
nashindwa kuelewa
2026-08-12 09:55:33
4
dkt.pashtz
Dkt PashTz :
Nashindwa kuelew
2026-08-12 10:09:34
4
mimmer.dimpy
Mimmer Dimpy :
nashindwa kwaelewaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂.na hachoki mimi sasa MDA wote nimechoka.sijiwezi jmniiii 😂😂😂😂
2026-08-12 10:20:55
8
zuwena.mchete
zuwena mchete :
halafu kuna mm nipo nammoja jasho linanitoka😂😂😂😂
2026-08-12 13:21:57
2
123456789k123451
BABALAO :
sisi ikifika mwezi wa kwanza tunawazimia wazazi wenzetu simu maana ndo kipindi cha kugombana na uliozaa nao😄😄😃
2026-08-12 10:58:43
1
official_shebyboy2
shebyboy😎🤫👊 :
kuna mda mpaka unasema awa wawili wananitosha😅😅😁😁😂😂
2026-08-12 10:35:04
2
tinachonya2006
🐲Tinaachonya💋 :
nimeuuliza baba yangu hivyo kalianngalia vibayaaaa😂😂
2026-08-12 11:10:37
1
lightcuty
ms light ✨️ :
ss 42 tulilelewa
2026-08-12 09:28:21
1
To see more videos from user @shafii_brand1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About